Tamko la rais Uhuru: Mtihani watafanya tu hata wakichoma shule

Kuna kitu moja tuu sikubaliani nawe. Sii lazima masomo tuu ndio njia ya kufaulu, uwe maskini ama tajiri. Ila tuu kwa mtoto wa tajiri huwa kuna faida ya kiaina kwa kupigwa jeki kwa kuwa na mali. Kwa hao wachache maskini uliowataja hapo juu waliofanikiwa maishani ni ushuhuda tosha kuwa ni bidii na uaamuzi mwafaka tuu na mtu akawa ni mwenye kufaulu. Huku kwetu kunao wale twawafahamu tuu.
 
sai ni second term already 124 schools zimechomwa wacha zifike 200-300-500 tuone kama uhuru na ruto watatii ama wanafunzi ndio watatiii..... case of fighting fire with fire
Niupumbavu uliopitiliza huo

Unachoma shule wakati unaitegemea shule!!
Wenye uwezo lazima waende shule binafsi au nje
Sasa sioni kama wanamkomoa Uhuru hapo.

Kuna taarifa kuwa shule ambazo hazikutii suala la kuchoma moto zinadharaulika mno
Inafikia hatua wazazi wanawatoa shuleni hapo watoto wao
Hili sio swala jema.

Watu wanapaswa kujua kenya kaskazini kuna wanafunzi hawana hata vyumba vya madarasa
Lakini wengine walio navyo wana vitia moto.

Kama umeona sio wacha kwenda shule sio kuchoma moto
Mimi hao nawaita wanywa viroba,wavuta bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…