Tamko la rais Uhuru: Mtihani watafanya tu hata wakichoma shule

Hata hivyo baadhi yetu wazazi tunafaa kulaumiwa pia, tuwaruhusu watoto wetu wasome kwa uwezo wao bila kuwapa presha za kiajabu ajabu hadi tunawanunulia mitihani.
 
Anawadanganya watoto wa masikini huyo
Uhuru Kenya labda kwake ndiyo grade hazimati lkn kwa mtoto masikini hakuna substitute ya higher grades bila grade nzuri hauendi mahali Dunia hii kama umetokea familia ya kimaskini
Hivyo wacha watoto wakeshe wakitafuta high grades ndiyo njia pekee!
 
Raging domitary fires tatizo biashara ya mitihani? Hadi illustrious Saint Patrics Iten surely?
 
Vipi simplemind umetoka Eldoret? halafu nilishangaa Zanzibar kwenu watu wanakimbia sana asubuhi utadhani Iten, Kenya aisei. Barabara yote ya Nyerere na maeneo yote ya Chukwani watu wanajazana asubuhi wanakula zoezi kweli kweli. Tofauti sana na Dar.

Anyway hili la mitihani, kwa kuzuia wizi wa mtihani kuna watu wanapoteza mtaji. kila mwaka wanapiga hela sana wale.
Mtahiniwa unapata paper zote kwa elfu kadhaa miezi michache kabla ya mtihani, halafu unakua na mwalimu anayekuongoza kila siku nini cha kujaza. Sasa kipindi hiki waziri mpya kwenye wizara kaibuka na mfumo balaa, hakuna wizi wa mitihani, inabidi watu wasome mazima mazima hamna cha nini wala nini.
 
Anawadanganya watoto wa masikini huyo
Uhuru Kenya labda kwake ndiyo grade hazimati lkn kwa mtoto masikini hakuna substitute ya higher grades bila grade nzuri hauendi mahali Dunia hii kama umetokea familia ya kimaskini
Hivyo wacha watoto wakeshe wakitafuta high grades ndiyo njia pekee!

Haihitaji nguvu nyingi kuelewa Uhuru anachokisema, cha msingi wazazi tuwahamasishe watoto wetu kutia bidii, lakini sio kuwapa presha hadi wanalazimika kuiba mitihani maana wanaogopa hali itakavyokua nyumbani wakirudi na alama za chini.
 
Vipi simplemind umetoka Eldoret? halafu nilishangaa Zanzibar kwenu watu wanakimbia sana asubuhi utadhani Iten, Kenya aisei. Barabara yote ya Nyerere na maeneo yote ya Chukwani watu wanajazana asubuhi wanakula zoezi kweli kweli. Tofauti sana na Dar.

Anyway hili la mitihani, kwa kuzuia wizi wa mtihani kuna watu wanapoteza mtaji. kila mwaka wanapiga hela sana wale.
Mtahiniwa unapata paper zote kwa elfu kadhaa miezi michache kabla ya mtihani, halafu unakua na mwalimu anayekuongoza kila siku nini cha kujaza. Sasa kipindi hiki waziri mpya kwenye wizara kaibuka na mfumo balaa, hakuna wizi wa mitihani, inabidi watu wasome mazima mazima hamna cha nini wala nini.
May God bless the child who made it all the way to campus fair and square. Disheartening that well deserving students are denied education by exam cheats. Taifa ndio limepoteza.
 
Lile zoezi la kuwaumbua wenye vyeti vya kughushi liliashia wapi Tanzania maana nakumbuka nikisoma mikwara full kutoka kwa polisi.
kamanda Sirro alisema mpo hadi vigogo wenye vyeti hivyo, yaani taifa nzima kuna maelfu na maelfu mnapokea mpunga tu lakini hakusoma Kamanda Sirro atangaza oparesheni maalum kwa wenye vyeti vya kugushi
Huku kwetu hilo tatizo la kufoji vyeti lipo na linashughulikiwa kwa umahiri wa hali ya juu ili kuwabaini watu waliofoji vyeti. Nafikiri na wewe umesikia jinsi mamlaka husika za Tanzania zinavyoshunghulika na hili tatizo. Na wengi tunalifurahia sana ndio maana huwezi kusikia watu wamechoma maofisi au mashule kwa visababu vidogo kama hivi.
Ila kinachonisikitisha ni jinsi jirani zetu mlivyo juu sana kwenye suala la kutafuta vyeti. Na kama ni vigezo vya kushindana naona mnachukua nambari wani kwa Afrika Mashariki.
Hili sakata mpaka Rais limemuamsha, inaonesha jinsi hali ilivyo mbaya, na yaonekana kila aliyefaulu mtihani na kuendelea vyuoni alipitia katika huo mfumo. Hebu tujiulize, je viongozi walio madarakani wanawezaje kujinasibu kwamba hawakupitia kwenye hili tanuru la wizi wa mitihani?
Na yaonekana viongozi wa Kenya kwa miaka mingi wamefaidika kwa kutumia haka kautaratibu kabla ya kushtukiwa na kina kajambanani, sasa hawataki watoto wa wenzao nao wafaidike. Viongozi wameshavuka na watoto wao wanasoma nje na hivyo hawawezi kuwepo kwenye hii kadhia. Sasa inadhihiri kwamba watoto wa maskini wamebanwa na hawana njia ya kuweza kufika vyuoni kirahisi, hivyo basi wameamua kuchoma mashule.
Poleni sana majirani zetu tunaomba mvuke salama, na hili lisiwe sehemu ya kuanza kuchinjana, tunawajua huwa nyinyi ni wepesi wa kutoana roho hata kwa kitu kidogo kama hiki.
 
Aisei umeandika insha nzima kuelezea jambo ndogo hata sijaisoma yote. Japo la kughushi vyeti na stakabadhi mnaongoza, taarifa zipo tunazisoma hivyo hata ukiandika insha humu haibadilishi jinsi Magufuli anahangaika kutumbua huo mtandao.
Kama juzi tuliona UDOM yote uchafu mtupu.
 
Pole sana kwa kuwa inakuhusu ni lazima upate ukakasi na ni jiwe ndio maana umeona ni jambo "ndogo" sana ila aina yoyote ya udanganyifu katika ilmu lazima ipigwe vita popote inapojitokeza
 
sai ni second term already 124 schools zimechomwa wacha zifike 200-300-500 tuone kama uhuru na ruto watatii ama wanafunzi ndio watatiii..... case of fighting fire with fire
 
Jana usiku 2 schools from uhuru Kenyattas gatundu constituency went out on fire was it???
 
Anawadanganya watoto wa masikini huyo
Uhuru Kenya labda kwake ndiyo grade hazimati lkn kwa mtoto masikini hakuna substitute ya higher grades bila grade nzuri hauendi mahali Dunia hii kama umetokea familia ya kimaskini
Hivyo wacha watoto wakeshe wakitafuta high grades ndiyo njia pekee!
Hapo umekosea! kuwa mweledi masomoni mbali na bidii, ni kipawa pia. Kuna mtu ambaye hajabarikiwa na kipawa cha kuwa gwiji wa masomo, lakini haimaanishi ya kuwa hawezi kuwa na maana yeyote kwenye jamii. Maisha ni kama hesabu, kuna njia nyingi tuu za kufanikiwa maishani. Sio ya kupitia masomo pekee yake, ila pia akili ya kuzaliwa ni muhimu. Ni wangapi tumewaona tuu wakishindwa kupata hizo alama bora na kwa kupitia njia zingine kama za kibiashara na kimichezo wakawa ndio kufaidika na talanta zao.
 
sai ni second term already 124 schools zimechomwa wacha zifike 200-300-500 tuone kama uhuru na ruto watatii ama wanafunzi ndio watatiii..... case of fighting fire with fire
Uhuru atatii nini? Demands za hao wanafunzi si ni utaratibu huu mpya ulegezwe ili waweze kuiba au kuna demands nyingine?
Ila nimecheka sana wanafunzi wanavyomuita huyo waziri Magufuli kisa kabana sana.
 
Hapo umekosea! kuwa mweledi masomoni mbali na bidii, ni kipawa pia. Kuna mtu ambaye hajabarikiwa na kipawa cha kuwa gwiji wa masomo, lakini haimaanishi ya kuwa hawezi kuwa na maana yeyote kwenye jamii. Maisha ni kama hesabu, kuna njia nyingi tuu za kufanikiwa maishani. Sio ya kupitia masomo pekee yake, ila pia akili ya kuzaliwa ni muhimu. Ni wangapi tumewaona tuu wakishindwa kupata hizo alama bora na kwa kupitia njia zingine kama za kibiashara na kimichezo wakawa ndio kufaidika na talanta zao.

Hata wewe unadanganya watu, bila maksi za juu hautoboi Dunia hii, hao unaowaongelea wewe ni wachache kam akina Diamond leo hii ni milionea lkn ni mmoja kati ya mamilioni, hivyo wewe kama mtoto wa masikini ni kusoma tu hata kama unalala masaa 2 kwa siku hakuna njia nyingene ya ktk kila unapoenda watu wasiokujua wataomba vyeti vyako na jinsi watakavyo kupokea itategemeana na maksi zako hayo mengine ya vipaji yanakuja baadaye baada ya kuingia lkn bila maksi za juu huwezi kuingia na hakuna hata wa kukusikiliza!
 
Kwa hivyo wamaanisha ukikosa kufanya vyema masomoni huwezi faulu maishani ama wamaanisha nini. Hata talanta isiyotokana na masomo inaweza ikawa faida kwa mhusika. Hilo jua kuanzia leo kama huwa haulijui. Ndio masomo ni muhimu lakini lakini sio mbinu pekee ya kufanikisha maisha bora kwa binadamu. Siku hizi ni kwa wale walio na upeo mdogo ambao wanaona hiyo ndio njia ya pekee ya kufaulu maishani.
 
Hapana! Ninachomaanisha ni kwamba kama wewe ni mtoto wa masikini kitu pekee kitakachofungua Dunia yako ni ufaulu wako wa Shule/Chuo hayo mengine yote ya vipaji yapo lkn ni wachache sana wanaofanikiwa kwa njia hiyo hasa wale masikini kwa maana wewe kama masikini ina maana hauna refa au mtu wa kukushika mkono na kukupa kazi au kukutambulisha kwa watu wakubwa hivyo njia pekee ya wewe kupenya ni kupitia Ufaulu wako tu hakuna njia nyingine kwa mtoto wa masikini!

Hivyo mimi nikija kubahatika kupata mtoto nitamwambia hakuna kulala ni kusoma tu kwani hiyo ndiyo njia pekee ya mtoto wa masikini kwenye nchi ya kimaskini ya kutoka na kufika mbali hapa Duniani!
 
Back
Top Bottom