TAMKO la TEC: Upo uwezekano baadhi ya ma Baba Askofu hawajui kilichomo

ARGUMENTUM AD HOMINEM

Utendaji wao hautuhusu...

Kinachotuhusu ni UZUSHI na KUGHUSHI saini ya Kardinali Pengo katika ule waraka wa mwaka 2018....hapa hupati utetezi hata wa malaika [emoji1787][emoji1787]
Badala ya kujenga hoja, amefanya argument ad hominem, ndiyo maana nikaenda naye katika style hiyohiyo anayoiweza, ili msije mkasema nimemuonea
 
Inawezekana mfano kama askofu ni mgonjwa (kama ilivyokuwa wakati ule wa Pengo). Lakini kwa kawaida, nyaraka za Kanisa Katoliki huandaliwa miezi 6 na kila askofu anayesaini huwa ameshiriki kutoa mawazo, ku'draft', kuondoa au kuongeza kitu na mwisho kabisa baada ya huo muda askofu anatakiwa aridhie kwa kusaini. As far as I know (from the horse's mouth) hata ule ulioandikwa wakati ule Pengo aliusoma, isipokuwa tu katika baadhi ya stages nadhani alikuwa mgonjwa. Hata hivyo, yeye kuwa mgonjwa kusingezuia waraka usitoke. Atakuwa tu ni askofu aliye "impossible" kuwa ignorant of the "text" kwa muda wote wa maandalizi, reviews na hata kuridhia. Don't underestimate Catholic Bishops. Siyo wababaishaji at all!
 
 
Kama tamko la TEC lilivyowabana mpaka jk ikabidi atoke mafichoni kuja kujifanya anakanya akaishia kula za uso pia kutoka kwa Askofu Shoo

Huyo mama enu mwenyewe limemkosesha usingizi na kumpunguza kilo

Famasihala nini
Kuna ukweli ndani ya maneno yako....[emoji120]

Ni sahihi kabisa kwa mama yetu "kuhamanika" kwa kukosa usingizi kwani TEC si taasisi ndogo ...ni taasisi kubwa na yenye heshima adhimu.....

Taasisi kama hiyo inapoandaa mpango wa KUMPINGA kiongozi mkuu wa nchi ni lazima ashtuke na sote tushtuke kwani USHAWISHI WAO NI MPANA SANA...na hizi nchi ni rahisi kuingia katika MITIFUANO isiyo kikomo pale inapoanzishwa na taasisi kama hizo......

JK ni mtanzania kama ulivyo wewe na mimi na anajua athari za maneno ya TEC....

Mwisho wa siku nchi ni lazima iendelee kuwa tulivu vyovyote iwavyo....upo mkuu ?!!

Karibu Wanzuki hapa ubandani kwa mama Lilly [emoji120]
 
Mnaongeleaje mambo ya 2018 wakati tamko jipya ni tarehe 18/08/2023 tubaki hapo msihamishe mpira kenge nyie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Limenishtua...

Nimeshtuka kuona kuwa 2018 maaskofu "walifoji" saini ya Kardinali wetu [emoji1787]
 
Uwaelimishe na njiwa wenzio hilo jambo waache kuja na vikashfa vyao uchwara wakidhani wanafanana nao

Mimi ni mchagga natumia mbege
 
Kamwaga anaandika maneno mengi yakianzia na maneno mawili "upo uwezekano"

Huyu mjinga ametengeneza hisia kichwani mwake, akazijazia na matukio ya kufikirika bila ushahidi wa asilimia 100, then akaandika mada ndefu isiyo na kichwa wala miguu.
 
Nisikilize mkuu...

TEC hawampingi mh.Rais kwa sababu ni muislam....nisikilize mlevi mimi wa shengena....

TEC wanasimamia maslahi yao....wao wenyewe....na ndio maana ile "saini" ilifojiwa ili tamko lile lipite.....

Maslahi yenyewe ni yale yanayofanana na zile kelele za baadhi ya masheikh wa BAKWATA kupinga kutozwa Kodi za mizigo kule bandarini [emoji1787][emoji1787]

JPM alipingwa kwa mengi.....[emoji1787]

Karibu Wanzuki[emoji120]
 
Unahamisha magoli ?!!

Acha kupiga "dochi" mpira wa kuusukuma tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Humu JF hakuna aliyezaliwa 2019...[emoji1787]
 
Kamwaga amewaumbua mlisema TEC inampinga mama kisa dini, kumbe walimpinga hata Magufuli mwenzako kwenye ukatoliki.
 
Badala ya kujenga hoja, amefanya argument ad hominem, ndiyo maana nikaenda naye katika style hiyohiyo anayoiweza, ili msije mkasema nimemuonea
Sawa...

Hilo la KUGHUSHIWA kwa saini unalizungumziaje bwashee ?!! [emoji1787]
 
Anayesema kuwa Pengo jina lake lilichomekwa bila ya yeye kujua, atakuwa ni mbumbumbu wa namna nyaraka za dini zinavyotolewa.

Pengo hakuwahi kuukana waraka. Na kwa kauli yake, tena alisema, japo sikusainii lakini siupingi waraka ila kuna mambo yamo humo ambaye ninafikiri hayakustahi kuwemo.

FAHAMUNI
Tangu kale, kwa taratibu za nyaraka za Kanisa, kama uliyehudhuria kwenye kikao chochote cha maamuzi unamwakilisha yeyote yule aliyekuteua, huandiki jina lako wala huweki sahihi yako, bali jina la aliyekutuma kukuwakilisha.

Ndiyo maana hata nyaraka zilizopo kwenye biblia, wanateolojia wanajua, zipo nyaraka zimeandikwa, WARAKA WA MTUME PAULO KWA ........ lakini nyaraka hizo hazikuandikwa kwa mkono wa mtume Paulo, bali ziliandikwa na Timoteo kwa maagizo ya Paulo, wakati Paulo akiwa gerezani.

Kwenye vikao vya TEC, ni lazima maaskofu wa majimbo yote na maaskofu wakuu wa majimbo makuu yote, wahudhurie. Kama askofu kwa sababu maalum akashindwa kuhudhuria, humtuma mwakilishi, na mwakilishi huyu kwenye kusaini azimio, huandika jina la askofu aliyemwakikisha. Na hicho ndicho kilichofanyika kwa kadinali Pengo.

Pia ifahamike kuwa kadinali siyo cheo cha ndani ya nchi. Kadinali ni member wa college of cardinals, na hii institution ni kwaajili ya Ulimwengu mzima, siyo nchi moja.

Hapo zamani hakukuwa na hitaji la kadinali lazima kuwa askofu, walipewa hiyo nafasi hata mapadre na hata walei. Ni mwaka 1961 ndipo Papa akatangaza kuwa kila anayeteuliwa kuwa kadinali, kama siyo askofu, basi atapewa uaskofu pia.

Hivyo, ukizungumzia baraza la maaskofu katika nchi, kiongozi mkuu siyo kadinali bali ni Rais wa TEC. Kadinali kazi yake kubwa ni wakati wa kumchagua Papa tu. Kwa hiyo, kwa hapa nchini Pengo alikuwa askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, na katika Baraza la maaskofu, alikuwa chini ya Rais wa TEC.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Limenishtua...

Nimeshtuka kuona kuwa 2018 maaskofu "walifoji" saini ya Kardinali wetu [emoji1787]
Basi hapo mnatamani mpate habari kama hii kwa tamko la TEC juzi humu JF hatutapumia naona mtaandika nyuzi mwezi mzima

Hili la limkataba libovu maaskofu wote na makardinali wameridhia msitegemee kusikia tofauti poleni sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unajua humu ndani kuna wasomi....na si watoto wa sekondari....

Umebana "P M B U" na kujikakamua kuja na utetezi huu wa kindezi ?!!!

Unapiga "dochi" mpira wa kuusukuma tu ?!!

Ujue humu tuko WAJAMAA tuliosomea "CUBA" [emoji1787][emoji1787]

Kwa bandiko hili hata mumlete malaika hatochomoa [emoji1787]

Karibu Wanzuki hapa kwa mama Lilly [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…