Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona.
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu.