Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Kumbe kuna mizigo imepatikana ndiyo maana haya mafuso imekuwa hadimu kuyapata ili kusafirishia mizigo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tubeti, mie nakupa Mil 1Kwa hili niko tayari kubet mkuu, lakini nakuhakikishia kwamba 2020 JPM atashinda kwa ushindi wa kihistoria na TAL atapigwa pigo takatifu litakalo mdhalilisha vibaya sana
ccm yatari inaushindi wa kutosha, leo ngome ya chadema imebomolewa kule tunduma na wamekutwa na ubadhilifu wa 2.5billion za miradi ya maji. Piga kelele kwa Ng'wanasusana yakeeeeeee!!!!Mkutano umekwisha watu wanachoma nyama na kusherehekea mafanikio ya miaka 5, tuko huko na jirani zetu wa Zambia. CCM hoyeeee😂😂😂😂😂 ndugu hakikisha unakaa karibu na Prof Janabi. Jiandae tu kumuona Lissu akiwa Raisi wako wa JMT 2020-2025
Fix?Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?
Sema huwaitaji wewe. Sie watanzania tunawaitaji saaana!!Kwanza hatuwahitaji tuna historia nzuri ya kufungiwa balozi mabeberu
Magufuli ni mstaafu wa siasa rasmi kuanzia November 2020
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!😂😂😂😂
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu
View attachment 1586980
Yani hilo tamko na huo ujumbe ulioweka wewe haviendani kabisa, ovyoooo ovyooo ovyooo, uozo uozo uozo. Watanzania wana imani na CCM, na wana imani na Magufuli. Na watampigia kura Magufuli.Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!😂😂😂😂
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu
View attachment 1586980
Iwe kwenye makubaliano ya kueleweka mkuu niko tayariTubeti, mie nakupa Mil 1
Labda wa nyumbani kwakeYani hilo tamko na huo ujumbe ulioweka wewe haviendani kabisa, ovyoooo ovyooo ovyooo, uozo uozo uozo. Watanzania wana imani na CCM, na wana imani na Magufuli. Na watampigia kura Magufuli.
Usihofu haya tu ni makubaliano. Nitakutumia usihofuIwe kwenye makubaliano ya kueleweka mkuu niko tayari
Kipi nilichoweka hakipo kwenye tamko lao??Yani hilo tamko na huo ujumbe ulioweka wewe haviendani kabisa, ovyoooo ovyooo ovyooo, uozo uozo uozo. Watanzania wana imani na CCM, na wana imani na Magufuli. Na watampigia kura Magufuli.
CCM hoyeeeee!Umeanza mwaka huu kushiriki chaguzi za Tanzania??? hivi vitu vipo kila uchaguzi unapofika lakini kuanzia tarehe 4 NOVEMBER hawa hawa unaowashobokea watakua wakitoa congraturatory Notes kwa JPM kwa ushindi mnono na watakuwa wakisema USA iko tayari kudumisha ushirikiano na URT. Chuma chetu a.k.a Ng'wanasusana leo yuko Tunduma atashiriki na wanaTunduma kusherehekea mafanikio ya awamu ya kwanza ya serikali ya awamu ya tano. Wote semeni CCM Hoyeeeeeeee
Mwaka huu upinzani umempata mpinzani pure!ole wako lissu ukubali ku- sign kizembe, haki utakuwa umenikosea sana!
Fix?
Uliza kama makonda anaweza kukanyaga USA baada ya kumpa katazo asikanyage.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!😂😂😂😂
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu
View attachment 1586980
Swala siyo kumfungia beberu,swala umemfungia beberu wa aina gani?Kwanza hatuwahitaji tuna historia nzuri ya kufungiwa balozi mabeberu
Yani kama mliishindwa CCM, kipindi wamegawanyika na kipindi mmeungana, nasemaje kuishinda CCM kipindi hiki mtasubiri sana. CCM itaendelea kuiongoza nchi hii.Labda wa nyumbani kwake
Wabunge / Madiwani siyo "accounting officer" hivyo kama kuna opotevu wa pesa kwenye halmashauru mhusika ni mkurugenzi na wahasibu wakeccm yatari inaushindi wa kutosha, leo ngome ya chadema imebomolewa kule tunduma na wamekutwa na ubadhilifu wa 2.5billion za miradi ya maji. Piga kelele kwa Ng'wanasusana yakeeeeeee!!!!Mkutano umekwisha watu wanachoma nyama na kusherehekea mafanikio ya miaka 5, tuko huko na jirani zetu wa Zambia. CCM hoyeeee