Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Kwa hili niko tayari kubet mkuu, lakini nakuhakikishia kwamba 2020 JPM atashinda kwa ushindi wa kihistoria na TAL atapigwa pigo takatifu litakalo mdhalilisha vibaya sana
Tubeti, mie nakupa Mil 1
 
Kwanza hatuwahitaji tuna historia nzuri ya kufungiwa balozi mabeberu
 
😂😂😂😂😂 ndugu hakikisha unakaa karibu na Prof Janabi. Jiandae tu kumuona Lissu akiwa Raisi wako wa JMT 2020-2025
ccm yatari inaushindi wa kutosha, leo ngome ya chadema imebomolewa kule tunduma na wamekutwa na ubadhilifu wa 2.5billion za miradi ya maji. Piga kelele kwa Ng'wanasusana yakeeeeeee!!!!Mkutano umekwisha watu wanachoma nyama na kusherehekea mafanikio ya miaka 5, tuko huko na jirani zetu wa Zambia. CCM hoyeeee
 
Yote haya wameyatafuata wenyewe, kulikuwa hakuna haja ya kuzuia mikutano ya kisiasa miaka yote 5, Vitendo vilivyojitokeza wakati wa Chaguzi ndogo zote, vitendo vilivyojitokeza wakati wa uchaguzi serikali za mitaa, na vitendo ya kukata wagombea wa upinzani pekee katika huu uchaguzi mkuu..... hivi ndiyo viashiria chanya vilivyofanya haya mataifa makubwa duniani yote yaukodolee macho uchaguzi huu.

Sasa mwenye kubisha kwamba Marekani ni tisha toto - haya na aibe kura sasa!!
 
Magufuli ni mstaafu wa siasa rasmi kuanzia November 2020
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!😂😂😂😂

Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona

Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!

Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!

Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu

View attachment 1586980

Yani hilo tamko na huo ujumbe ulioweka wewe haviendani kabisa, ovyoooo ovyooo ovyooo, uozo uozo uozo. Watanzania wana imani na CCM, na wana imani na Magufuli. Na watampigia kura Magufuli.
 
Labda wa nyumbani kwake
 
Yani hilo tamko na huo ujumbe ulioweka wewe haviendani kabisa, ovyoooo ovyooo ovyooo, uozo uozo uozo. Watanzania wana imani na CCM, na wana imani na Magufuli. Na watampigia kura Magufuli.
Kipi nilichoweka hakipo kwenye tamko lao??
 
Umeanza mwaka huu kushiriki chaguzi za Tanzania??? hivi vitu vipo kila uchaguzi unapofika lakini kuanzia tarehe 4 NOVEMBER hawa hawa unaowashobokea watakua wakitoa congraturatory Notes kwa JPM kwa ushindi mnono na watakuwa wakisema USA iko tayari kudumisha ushirikiano na URT. Chuma chetu a.k.a Ng'wanasusana leo yuko Tunduma atashiriki na wanaTunduma kusherehekea mafanikio ya awamu ya kwanza ya serikali ya awamu ya tano. Wote semeni CCM Hoyeeeeeeee
CCM hoyeeeee!
Mkuu baba keshasuguliwa na Sugu?
 
Fix?

Uliza kama makonda anaweza kukanyaga USA baada ya kumpa katazo asikanyage.

D.Trump hana huo muda wa kushughulika na Siasa za Tanzania, acheni kujidanganya, ...
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!😂😂😂😂

Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona

Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!

Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!

Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu

View attachment 1586980

Ni matamko ya kawaida hayo na yanayotarajiwa. Nchi yetu ni huru, ina katiba, sheria na taratibu zake za kuchaguana na wala haitaji mwongozo kutoka Marekani ama nchi nyingine yoyote, na huu si uchaguzi wa kwanza kufanyika, kwamba hatuna uzoefu wa kuendesha chaguzi zetu.

Tena safari hii tunatumia fedha zetu za madafu kuchagua viongozi wetu kwa utashi na mapenzi yetu, na si kwa shinikizo la kibeberu! Ila ni bora wajiandae kisaikolojia kuwa wanayemtaka wao siye tunayemtaka sisi.
 
Na sisi tutatoa tamko letu kama Tanzania katika uchaguzi utakaoenda kufanyika Marekani hivi karibu
 
ccm yatari inaushindi wa kutosha, leo ngome ya chadema imebomolewa kule tunduma na wamekutwa na ubadhilifu wa 2.5billion za miradi ya maji. Piga kelele kwa Ng'wanasusana yakeeeeeee!!!!Mkutano umekwisha watu wanachoma nyama na kusherehekea mafanikio ya miaka 5, tuko huko na jirani zetu wa Zambia. CCM hoyeeee
Wabunge / Madiwani siyo "accounting officer" hivyo kama kuna opotevu wa pesa kwenye halmashauru mhusika ni mkurugenzi na wahasibu wake
 
Back
Top Bottom