Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani khofu yenu ni nini? Hili tamko si linawahusu upinzani pia kama wataharibu uchaguzi? Mbona ni ccm tu mnaoweweseka? Au mnajuwa maovu yenu mliyoyapanga?D.Trump hana huo muda wa kushughulika na Siasa za Tanzania, acheni kujidanganya, ...
Wewe na nani? Mimi simtaki huyo mbaguzi zaidi ya Kaburu.Ni matamko ya kawaida hayo na yanayotarajiwa. Nchi yetu ni huru, ina katiba, sheria na taratibu zake za kuchaguana na wala haitaji mwongozo kutoka Marekani ama nchi nyingine yoyote, na huu si uchaguzi wa kwanza kufanyika, kwamba hatuna uzoefu wa kuendesha chaguzi zetu.
Tena safari hii tunatumia fedha zetu za madafu kuchagua viongozi wetu kwa utashi na mapenzi yetu, na si kwa shinikizo la kibeberu! Ila ni bora wajiandae kisaikolojia kuwa wanayemtaka wao siye tunayemtaka sisi.
kama mtanzaniaUnawapangia wewe kama nani???
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?
Marekani imejenga US base Dar kubwa kuliko yoyote kwa ukanda wetu halafu unajambajamba eti Marekani haina maslahi Tanzania?Ndiyo, ni lazima hiyo ni policy ya Raisi wa USA, USA haiwezi kuiwekea nchi xyz sanctions bila ya Raisi wa USA kukubali, na Trump na USA hawana maslahi Tanzania, hizo barua ni secretary Ubalozini anachapa kila mtu anweza kuzipata, ...
Yote haya wameyatafuata wenyewe, kulikuwa hakuna haja ya kuzuia mikutano ya kisiasa miaka yote 5, Vitendo vilivyojitokeza wakati wa Chaguzi ndogo zote, vitendo vilivyojitokeza wakati wa uchaguzi serikali za mitaa, na vitendo ya kukata wagombea wa upinzani pekee katika huu uchaguzi mkuu..... hivi ndiyo viashiria chanya vilivyofanya haya mataifa makubwa duniani yote yaukodolee macho uchaguzi huu.
Sasa mwenye kubisha kwamba Marekani ni tisha toto - haya na aibe kura sasa!!
Hawa si ndio hao Mabeberu?
Natumaini Ccm watakuwa wastaarabu hatutafika huko.
Wataachia madaraka kwa amani
Jidanganye tu!!! Unafikiri Marekani ndo Tanzania??? Marekani Mfumo ndo unaendesha nchi sio Raisi
Unachanganya. Trump sio serikali ya Marekani.
Najua hili hulijui.
Maccm wenzako hawataki wanaweweseka.Hili tamko nimelipenda liko wazi na linaonesha uwazi na linataka kila mtu awajibike ipasavyo! Safi kabisa!
Ni mpumbavu tu ambaye hajaenda shule,hajaelimika na hana kitu kichwanu ndiye anayeweza kuwasemea Watanzania kuwa wana imani na CCM.Yani hilo tamko na huo ujumbe ulioweka wewe haviendani kabisa, ovyoooo ovyooo ovyooo, uozo uozo uozo. Watanzania wana imani na CCM, na wana imani na Magufuli. Na watampigia kura Magufuli.
Na sisi tutatoa tamko letu kama Tanzania katika uchaguzi utakaoenda kufanyika Marekani hivi karibu
Una elimu gani kwanza ndugu?? Nijue kabisa elimu yako kabla sijaanza kukuelimishaSiyo kweli, kila Raisi wa USA ana policy zake kuhusu mahusiano ya USA na karibia kila nchi, isitoshe ukitaka kujua hiyo barua ni B.S. haipo kwenye website ya Ubalozi wa USA hapa Tanzania, na wenb
Raisi wa USA siyo Serikali ya USA?
Katika mambo ya aina hii, hailazimu Trump awepo au asiwepo. Bado huelewi?Siyo kweli, kila Raisi wa USA ana policy zake kuhusu mahusiano ya USA na karibia kila nchi, isitoshe ukitaka kujua hiyo barua ni B.S. haipo kwenye website ya Ubalozi wa USA hapa Tanzania, na wenb
Raisi wa USA siyo Serikali ya USA?
Yaaani una PhD na ndo una akili ya hovyo na kilaza namna iyo??PhD, ...
Una elimu gani kwanza ndugu?? Nijue kabisa elimu yako kabla sijaanza kukuelimisha