Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Gusa unaseWe jamaa hacha ushamba na shobo na wazungu.
Tulieni tu!! Mtajua hamjui mwaka huu!! DadekiiiiiSo wewe mwanamke umeandika nn hapa
Mwaka huu wanalo!! Hayawi hayawi sasa yamekuwaaaa!!! I canβt wait kwa kweli!!!Natumaini Ccm watakuwa wastaarabu hatutafika huko.
Wataachia madaraka kwa amani
Ninachompendea mmarekani huwa hatoi tamko hivi hivi. Ukiona hivi ujue ameshakusanya ushahidi wake na yuko sehemu Nzuri!! Anasubiri tu apige lini na wapi ππππTamko liko neutral, lakini kuna watu litawatoa mapovu
Hahahahahahaha chuma ni Lissu, huyo wenu ni jiwe. CCM jiandaeni tu kuwa wapinzani mwaka huuπππUmeanza mwaka huu kushiriki chaguzi za Tanzania??? hivi vitu vipo kila uchaguzi unapofika lakini kuanzia tarehe 4 NOVEMBER hawa hawa unaowashobokea watakua wakitoa congraturatory Notes kwa JPM kwa ushindi mnono na watakuwa wakisema USA iko tayari kudumisha ushirikiano na URT. Chuma chetu a.k.a Ng'wanasusana leo yuko Tunduma atashiriki na wanaTunduma kusherehekea mafanikio ya awamu ya kwanza ya serikali ya awamu ya tano. Wote semeni CCM Hoyeeeeeeee
Marekani anajua fika JPM ndiyo mshindi na kule Zanzibar ni H.A.H.Mwinyi. Nchi sasa ziko mikononi mwa wanasayansi kule dokta wa binadamu huku DOKTA WA KEMIA. Hawa madokta wawili wanawakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa watu fulani, nchi inakwenda kupaaaNinachompendea mmarekani huwa hatoi tamko hivi hivi. Ukiona hivi ujue ameshakusanya ushahidi wake na yuko sehemu Nzuri!! Anasubiri tu apige lini na wapi ππππ
Magufuli ni mstaafu wa siasa rasmi kuanzia November 2020Marekani anajua fika JPM ndiyo mshindi na kule Zanzibar ni H.A.H.Mwinyi. Nchi sasa ziko mikononi mwa wanasayansi kule dokta wa binadamu huku DOKTA WA KEMIA. Hawa madokta wawili wanawakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa watu fulani, nchi inakwenda kupaaa
Unawapangia wewe kama nani???wangeanzia uganda ambako museven anatawala mwaka wa 100 sasa ndo ningeawaamini hao wamarekani, au rwanda ambako kagame anaua wapinzani mchana kweupe au unabambikwa kesi
Kwa hili niko tayari kubet mkuu, lakini nakuhakikishia kwamba 2020 JPM atashinda kwa ushindi wa kihistoria na TAL atapigwa pigo takatifu litakalo mdhalilisha vibaya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu hakikisha unakaa karibu na Prof Janabi. Jiandae tu kumuona Lissu akiwa Raisi wako wa JMT 2020-2025