Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Uonevu baba uonevu.
Na
Wamesikika kuwa mmepanga kupindua matokeo,hivyo wameona waingilie Kati,hofu ya Nini Sasa,nyinyi si wababe? Sasa kaja mbabe zaidi fanyeni yenu Sasa.
Hawawezi lolote watz ndiyo wataamua na kama hao mabeberu zenu wakina Robert Amsterdam wakileta cha kuleta basi tutwangane tu lakini msaliti Lissu hawezi kupewa nchi na akina Robert never afadhali kutwangana.
 
Nawao wanauchaguzi Mwaka huu, balozi aliyepo USA ni vyema akatoa nayeye tamko huko kwako mwenendo wa uchaguzi wao
 
Uonevu baba uonevu.
Na
Wamesikika kuwa mmepanga kupindua matokeo,hivyo wameona waingilie Kati,hofu ya Nini Sasa,nyinyi si wababe? Sasa kaja mbabe zaidi fanyeni yenu Sasa.
Kuna mpuuzi mmoja alikuwaga Raisi wa Panama anaitwa Manuel Noriega nae alijifanyaga mbabe kwa Marekani, Marekani walituma vikosi vyao wakamchukua ikulu kama kuku!!!

Sasa Jiwe ajifanye mjanja kama Seal Team 6 hawajatua chato au chamwino pale kufanya yao!

Tena wapo mbele ya Mombasa tu hapo na Meli vita zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nawao wanauchaguzi Mwaka huu, balozi aliyepo USA ni vyema akatoa nayeye tamko huko kwako mwenendo wa uchaguzi wao
Toeni tamko nyie vilaza wa lumumba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawawezi lolote watz ndiyo wataamua na kama hao mabeberu zenu wakina Robert Amsterdam wakileta cha kuleta basi tutwangane tu lakini msaliti Lissu hawezi kupewa nchi na akina Robert never afadhali kutwangana.
Hahahahaha unaweza kutwangana na Marekani wewe???
 
CDM pazeni sauti, mnaona Siro anavyoanza makeke, ataleta madhara makubwa, msimuone kama anatania. AAlisimamia MKIRU wakaua over 1,000 as per unconfirmed statistics. Na hapa hashindwi, kuweni macho please
 
Si upige wewe kelele!
 
CDM pazeni sauti, mnaona Siro anavyoanza makeke, ataleta madhara makubwa, msimuone kama anatania. AAlisimamia MKIRU wakaua over 1,000 as per unconfirmed statistics. Na hapa hashindwi, kuweni macho please
Lolote watalofanya mwaka huu wajue tu the world is watching. Askari wa dunia Marekani aneshatoa tamko, na leo bunge lao wameijadili rasmi Tanzania.

Najua kuna wanaume wanapasha mbele ya Mombasa hapo kuja kumchukua mtuhumiwa wao baada ya uchaguzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani mnafanya maujingajinga yenu na fujo zisizo na msingi mkidhani marekani itawatetea kwenye ujinga na vurugu mnazojaribu kuanzisha, hell no, sheria zitafuatwa na mkileta fujo kipondo kama kawa
Jaribuni muone. Si meshazoea vya kunyonga eeeh??? Haya mbabe wa dunia yupo mlangoni kwenu dadekiiiii
 
Unawalisha maneno!
 
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?

We jamaa unashangaza kinoma. Kwahiyo ukadhani Trump ndio Alfa na Omega USA?

Marekani wakitaka kumsugua yeyote wanamsugua tu iwe Trump anapenda au hapendi.
Jitahidi kunyambua kati ya Potus ns USA.
 
Safari hii kitaeleweka tu.
CCM kwa miaka yote ya Chaguzi za Vyama vingi since 1995 wemekuwa wakishinda kiujanjajanja tu.
This time no way!!!Huku Marekani, huku ICC na huku Bob Amsterdam....!!! Patamu hapo!
 
Maccm wenzako hawataki wanaweweseka.
Mkuu tamko Hilo haliko wazi Kama watu wengi wanavyofikiria,Tamko Hilo linaihusu CCM na CCM ndio serikali,watu wanapoomba Uchaguzi huru na wa Haki,wanaiomba Serikali ya CCM,sio CDM.
CCM hata siku moja haijawahi kudai Uchaguzi huru na wa Haki,wanaodai siku zote Ni wapinzani.
Na kwa kipindi hiki Ni Lissu tu ndio anawekewa figisu,Sio Jiwe.
US wametoa tamko kwa akili Sana kuelekea CCM na Jiwe lake.
Hata wenye hofu humu Ni Lumumba b7.
Maana yake Uchaguzi ukiwa huru na Haki CCM saa mbili asubuhi wanaaga mashindano.na ndio maana ya hofu yote hi.
CCM wanaogopa vitu viwili tu hapa duniani.
Katiba mpya na
Tume huru.
na Tume huru maana yake Uchaguzi huru na wa Haki.
 
Hii ya 'Kuwababaikia' na 'Kujipendekeza' kwa 'Marekani' wakati nayo ina Mambo yake kuna Siku tu watawaombeni 'wawapakuwe' sijui mtawanyima!
 
Safari hii kitaeleweka tu.
CCM kwa miaka yote ya Chaguzi za Vyama vingi since 1995 wekuwa wakishinda kiujanjajanja tu.
This time no way!!!Huku Marekani, huku ICC na huku Bob Amsterdam....!!! Patamu hapo!
Wanatamani warudishe siku nyuma dadekiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?

Mmezoea kwa jiwe kila kitu afanye yeye, ile marekani kijana, kila taasisi inajutuma yenyewe
MWIBA HUTOKEA ULIPOINGILIA
 
Hii ya 'Kuwababaikia' na 'Kujipendekeza' kwa 'Marekani' wakati nayo ina Mambo yake kuna Siku tu watawaombeni 'wawapakuwe' sijui mtawanyima!
Kuliko kwenda na huyu aliyesema Leo ole wenu msimchague silinde sitawaletea maji???? Acha tu twende na Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…