Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Marekani anajua fika JPM ndiyo mshindi na kule Zanzibar ni H.A.H.Mwinyi. Nchi sasa ziko mikononi mwa wanasayansi kule dokta wa binadamu huku DOKTA WA KEMIA. Hawa madokta wawili wanawakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa watu fulani, nchi inakwenda kupaaa

Wanasayansi hawana reasoning capacity
 
Asipoenda anakufa? Familia yake ina kosa mlo?

View attachment 1587065
Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema kinapuuzia matokeo ya utafiti wa taasisi ya Trends Dynamiques Consulting yanayoonesha asilimia 79 ya wapiga kura wakisema, watamchagua John Magufuli kama rais.

Chadema kinasema hizo ni propaganda za CCM katika kuwaanda wapiga kura kisaikolojia. Chadema imesema hayo ikiwa ni siku moja tangu kutolewa kwa matokeo ya utafiti huo ambao unaonesha mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho, atapigiwa kura kwa asilimia 19, kwa upande wa Tanzania bara na asilimia 28 kwa upande wa Zanzibar na kuutafrsiri kuwa huo ni mpango mwingine wa CCM katika kufanya hujuma za kuiba kura za wananchi.

Baadhi ya tafiti zinaonyesha Tundu Lissu atapigiwa kura na zaidi ya asilimia 80 ya wapiga kura
Akizungumza na DW Rodrick Rutembeka katibu mkuu baraza la wazee chadema amesema, wanapuuzia utafiti huo kwani ni sehemu ya propaganda ya chama tawala CCM katika kuhalalisha kumuweka mamlakani mgombea wao Rais John Magufuli ambae anawania muhula wa pili wa kuliongoza taifa hilo la Afrika mashartiki linaloingia katika uchaguzi wake wa sita tangu kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi 1992.

Tansania Tundu Lissu Präsidentschaftskandidat


Mgombea wa Chadema Tundu Lissu
Aidha ameongeza kuwa, hata chama chake tayari kimekwisha fuatilia tafiti kadhaaa zilizofanywa na watu binafsi na kuonesha kuwa bwana Tundu Lisu mgombea wa chama hicho kikuu cha upinzani atapigiwa kura kwa asilimia zaidi ya themanini, lakini hawakuziweka hadharani kwa kuwa wanasubiri maamuzi ya kidemocrasia yanayotokana na kura za raia.

MADA ZINAZOHUSIANA
Tanzania
John Pombe Magufuli
CHADEMA
Uchaguzi
Kassim Majaliwa
Uchaguzi wa Bunge la Ulaya 2019
Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

Matangazo

Kwa upande wa chama tawala CCM kimesema kinaridhia matokeo hayo sababu mgombea wake Rais John Magufuli anakubalika na wananchi kutokana na yale aliyoyafanya katika awamu ya kwanza ya uongozi wake, hivyo hawana sababu ya kununua utafiti ili kuwaaminisha wapiga kura.

Waliohojia na Trends Dynamiques Consulting wasema watamchagua Magufuli kama rais
Mwalimu Raymond Mangwala ni katibu mkuu wa umoja wa vijana CCM taifa ameiambia DW kuwa katika utafiti walioufanya kama vijana wa chama hicho umeonesha Rais Magufuli atashinda kwa zaidi ya asilimia 90. alisisitiza.
Afrika Tansania Mosambik SADC John Magufuli

Mgombea urais wa CCM John Pombe Magufuli
Kwa mujibu wa waliohojiwa na taasisi ya Trends Dynamiques Consulting walisema watamchagua Rais Magufuli kutokana na uwezo wa kulinda maslahi ya taifa na ujenzi wa miundombinu, huku waliosema watamchagua Tundu lisu sababui zao zikiwa ni ujasiri wake na kuhitaji mabadiliko kutokana na CCM kukaa mamalakani kipindi kirefu.
Screenshot_20201001-225315.png
 
wangeanzia uganda ambako museven anatawala mwaka wa 100 sasa ndo ningeawaamini hao wamarekani, au rwanda ambako kagame anaua wapinzani mchana kweupe au unabambikwa kesi

Kanuni za kuongoza nchi Ni mbili,usisomeshe namba watu wako,pili usiguse maslai ya wakuu wa dunia.
Hapa jiwe anachomoka vipi.
Hao wenzake wamedumu kwa kufuata kanuni hizi mbili
 
Ilo tamko sio la kulichekea wala kulishabikia, limejaa vitisho, ni tamko lenye dharau kwa nchi yetu kanakwamba sisi kama taifa hatuwezi kushughulikia matatizo yetu wenyewe.
Wao waje washulike na watakaoleta vurugu, machafuko sijui uvunjifu wa amani muda huo majeshi yetu yanafanya nini.
tuna vyombo vya sheria, tuna vyomba vya ulinzi na usalama, watuache tufanye uchaguzi kwa uhuru na amani.
Izo vurugu na machafuko wasivitegemee kwani sio sehemu ya utamaduni wetu.
Waende kwenye nchi walizozoea kuzikalia kwa kisingizio cha kulinda amani.

Mungu ibariki tanzania mungu bariki uchaguzi mkuu uwe wenye amani,huru na haki.
 
Kweli wewe ni zuzu kabisa una shangilia nini sasa hapo? Wamesema hawamuungi mkono mgombea yeyote ila uchaguzi wa uhuru na haki. Sasa wewe unashangilia kitu gani. Nafikiri unamatatizo kwenye ubongo wako.
Wewe Mbona una matatizo ya Ubongo kiliko wote unawezaje kumsahihisha mtu wakati hapo ulipo hujielewi
 
Uonevu baba uonevu.
Na
Wamesikika kuwa mmepanga kupindua matokeo,hivyo wameona waingilie Kati,hofu ya Nini Sasa,nyinyi si wababe? Sasa kaja mbabe zaidi fanyeni yenu Sasa.
Tayari manuari kubwa pamoja na nyambizi kubwa zimeanza Safari kusogea pwani ya Tanzania kuilinda dhidi ya Polisi endapo wataamua kumwaga Damu za watanzania
 
Ilo tamko sio la kulichekea wala kulishabikia, limejaa vitisho, ni tamko lenye dharau kwa nchi yetu kanakwamba sisi kama taifa hatuwezi kushughulikia matatizo yetu wenyewe.
Wao waje washulike na watakaoleta vurugu, machafuko sijui uvunjifu wa amani muda huo majeshi yetu yanafanya nini.
tuna vyombo vya sheria, tuna vyomba vya ulinzi na usalama, watuache tufanye uchaguzi kwa uhuru na amani.
Izo vurugu na machafuko wasivitegemee kwani sio sehemu ya utamaduni wetu.
Waende kwenye nchi walizozoea kuzikalia kwa kisingizio cha kulinda amani.

Mungu ibariki tanzania mungu bariki uchaguzi mkuu uwe wenye amani,huru na haki.
Wakataze IGP na polis wake wakataze Tume isiyo huru ya uchaguzi waache hujuma zao mapema kwani ndiyo chanzo cha vurugu vita Nchini Tanzania
 
Marekani iliishashuka hadhi juu ya nchi za kuheshimu demokrasia, baada ya raisi wao kusema hatakubali matokeo ambayo yeye hakushinda.

Ninachoomba kwa Watanzania ni wagombea kuheshima sheria za uchaguzi, lakini haya kushabikia yaliyosemwa na ubalozi wa USA, wakati mwaka huu kuna utata na hofu ya kuibiwa kura na MBABE Trump, ambaye hata kodi za biashara zake halipi.

USA no longer has moral authority on democracy, they are just as bad as thrid world countries. The only difference is they are RICH.
 
Kuliko kwenda na huyu aliyesema Leo ole wenu msimchague silinde sitawaletea maji???? Acha tu twende na Marekani.
Kweli bora Marekani kuliko kuchua kodi jimboni kwenda kujenga chato na kuacha kupeleka maendeleo makusudi kisa jimbo lipo chini ya upinzani
 
Mimi ni Mtanzania, na sina imanibna Magufuli na simpi kura yangu mbaguzi mkubwa huyu, ni zaidi ya kaburu.

Kura yako moja haitamnyima usingize. Kaipoteze kwa Jicho oops Lissu.
 
Marekani iliishashuka hadhi juu ya nchi za kuheshimu demokrasia, baada ya raisi wao kusema hatakubali matokeo ambayo yeye hakushinda. Ninachoomba kwa Watanzania ni wagombea kuheshima sheria za uchaguzi, lakini haya kushabikia yaliyosemwa na ubalozi wa USA, wakati mwaka huu kuna utata na hofu ya kuibiwa kura na MBABE Trump, ambaye hata kodi za biashara zake halipi. USA no longer has moral authority on democracy, they are just as bad as thrid world countries. The only difference is they are RICH.
CCM hupokea misaada mingi tokea marekani kwani marekani haina watu masikini wa kuwapa hiyo misaada kwanza? Masikini wapo marekani lakini misaada inakuja CCM, marekani kuwa na shida zake kisiasa siyo kigezo cha Tanzania kuharalisha wizi wa kura kuzuia maendeleo kwa makusudi kisa mbunge ni wa upinzani
 
Tanzania ya sasa ni Tanzania ya isiyojali haki za binadamu haiwezekani mwananchi alipe kodi zake jimboni kisha anyimwe maendeleo kisa mbunge wake ni mpinzani, kuchukua kodi majimbo ya upinzani kwenda kujenga chato ni mojawapo ua kero kubwa kwa sasa
 
Umeanza mwaka huu kushiriki chaguzi za Tanzania??? hivi vitu vipo kila uchaguzi unapofika lakini kuanzia tarehe 4 NOVEMBER hawa hawa unaowashobokea watakua wakitoa congraturatory Notes kwa JPM kwa ushindi mnono na watakuwa wakisema USA iko tayari kudumisha ushirikiano na URT. Chuma chetu a.k.a Ng'wanasusana leo yuko Tunduma atashiriki na wanaTunduma kusherehekea mafanikio ya awamu ya kwanza ya serikali ya awamu ya tano. Wote semeni CCM Hoyeeeeeeee
Sawa ngoja tusubiri
 
Wakataze IGP na polis wake wakataze Tume isiyo huru ya uchaguzi waache hujuma zao mapema kwani ndiyo chanzo cha vurugu vita Nchini Tanzania
kwanini ajiapize kuja kushughulika na matatizo katika taifa huru lenye serikali yake na vyombo vyake vya dola, kipi hasa kinamvuta, tuamke watanzania hawa jamaa wasicheze na akili zetu.

Tena wanaonekana kutamani machafuko watimize azma yao, kwa Tanzania wamepotea njia.

"HAPA AMANI TU"
 
kwanini ajiapize kuja kushughulika na matatizo katika taifa huru lenye serikali yake na vyombo vyake vya dola, kipi hasa kinamvuta, tuamke watanzania hawa jamaa wasicheze na akili zetu.
Tena wanaonekana kutamani machafuko watimize azma yao, kwa Tanzania wamepotea njia.
"HAPA AMANI TU"
Amani ni Tunda la haki
 
hakuna jipya hapo
wanaweweseka mipango yao ovu kupitia kwa kubaraka wao lissu mpaka sasa imekwama,na siku zimeisha
hali shwari matamko ya nini?
 
Back
Top Bottom