Wapalestina walikwambia wanaitaka Egypt?We ni mjinga kwelikweli Egypt wenyewe hawawataki Wapalestina kwenye nchi Yao.
Nenda kwenye page za serikali ya Egypt ukasome
Taarifa ya muda huu asubuhEgypt hapo wanacheka tu, hawahitaji kufunguwa mpaka. Hivi huelewi siku zote kuna mabarabara ya chini ya ardhi baina ya Egypt na Gaza?
Kweli umelala.
Mimi sio mkristo Mimi ni muafrica!Wapalestina walikwambia wanaitaka Egypt?
Sikushangai, nafahamu katika amri zenu kumi hakuna ya "usiseme uongo".
Kasome hizi sura kwenye Quran tuone kaka dini yenu ni ya aman kweliMuislam ni haki yake kujihami anapoonewa. Kumbuka hilo.
Hakuna Muislam anayetaka vita duniani.
Uislam ndiyo dini pekee ya amani duniani. Kumbuka hilo.
Mimi sio mkristo Mimi ni muafrica!
Sio Islam waka christian.
Check your facts!
Mimi sio mkristo Mimi ni muafrica!
Sio Islam waka christian.
Check your facts!
Weka hizo aya hapo, wacha kuweka namba tu. Unaogopa nini?Kasome hizi sura kwenye Quran tuone kaka dini yenu ni ya aman kweli
Surah 3:15
Surah 2:191
Ikibidi zipandishe hapa kila mtu ajisomee