Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

What a rubbish post...!!
 
Aisee...
Wanajeshi sio watu wazuri, kwanini wanawapiga wanawake? Hapo wamekosea. Ingekuwa ni wewe umepigwa ningeendelea kucheka kama ni wifi yetu inasikitisha sana sicheki tena.

Mpeleke pale Lugalo akatibiwe.
 
Acha dharau, mdomo uliponza kichwa
 

Utasababisha wakazi halisi wa Kawe wapate matatizo bure mtu mwenyewe hukai hata Kawe unaishi zako huko bunda vijijini.

Acha utoto mkuu
 
Acha ujinga,askari gani aende kuomba geto,akope pesa kwa raia,agongee pombe kwa raia? Na mkipigwa tena msingizie vingine. Alafu hauko specific, ni askari wa kikosi gani pale lugalo waliowatesa hao wananchi?

Mtoa mada haishi Kawe anaishi huko bunda vijijini hizo story anafanya kusikia tu then anakuja kubwabwaja hapa hakuna uhalisia wowote
 
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
 
Hakuna cha tamko wala nini mkuu mtoa mada ni mtunzi mzuri sana wa hadithi za kusadikika. Kwanza Dar yenyewe hajawahi fika anaishi huko bunda vijijini mkoani mara. Yeye kaandika huu Uzi ili kuwaaminisha watu kwamba anaishi Dar lakini kumbe ndio anawadhihirishia watu kwamba hata hiyo Dar yenyewe hajawahi kufika..
 
... NA WANAONGOZA KWA KUTOKUWA NA WITO!
... HAKUNA MCHUJO, ILI MRADI NI WATU WANAOTAFUTA KIPATO NA SEHEMU YA KUJIMWAMBAFAI KWA HILA ZOTE, ... RUSHWA, KUJUANA, NGONO ... YAANI UCHAFU MTUPU!
WE NEED A REFORMED JWTZ! ... SIJUI WAENDE 'SHAOLIN'?
 
Jeshi linaonesha nidhamu mbovu wazi wazi kiaha hawaambuwi chochote.

Ni jeshi gani lisiloheshimu raia inaowalinda
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Wanajeshi wa bongo ni wapumbavu sana hawa dawa yao ni kuwachoma na visu na kuwapiga virungu wafe kabisa maana hawana cha kufanya wanajeshi wapo afrika magharibi hawa wa kibongo ni wapaka poda tu wapuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…