Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huwezi kunionyesha kwa sababu hawapo!Hata nikikuonesha utaweza kuwafahamu.. Kitu ambacho hata wahusika wenyewe hawafahamiani labda kama walishakutana kwenye jukumu moja. Acha logic za kitoto na mada za kishamba.
Kalaghabhaho 😄Siwezi fanya hivyo, sheria haziruhusu😅
Mbona kama Hawa wanajeshi wetu Kwa iliyo yaeleza hapa naona WANA TABIA ZA HOVYO HOVYO inafikirisha sana sanaa...1. Kuanza sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya hatutaki tena Wanajeshi wa Kawe kuja KUTUKOPA Pesa Sisi Raia wa Kawe na badala yake waende wakamkompe Amiri Jeshi Mkuu au CDF wao bila kumsahau Waziri wa Ulinzi
2. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kuja KUGONGEA ( kuomba Vyakula ) Makwetu pale Wakiishiwa Makwao na wakija kwa Makusudi tutawaitia Wezi ili Raia wafanye yao au tutawafungulia Mbwa Wetu Wakali ili waondoke na Kende zao ili wakafanyiwe vizuri Oparesheni Hospitalini Kwao Lugalo.
3. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kutaka walipe Kodi za Mwezi Mwezi huku URAIANI Kawe na sasa tunapokea Kodi za Miezi Kumi na Mbili tu kana hawana Wakalale Koridoni Nyumbani kwa CDF wao au Waziri wao wa Ulinzi
4. Kuanzia sasa HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kuja URAIANI kwa WALIOTUPIGA na KUTUUMIZA vibaya kutuomba tuwape Maghetto yetu ili Wabandue Mahawara zao ( Michepuko yao ) kwa Kukosa Hela ya Gesti / Loji na badala yake waende wakalale nao Viwanjani Kwao au pale Mapira kwenye Pori kunakotazamana na Chuo chao cha Tiba cha MCMS ili Wakangatwe vizuri na Nyoka Wakali ( hasa aina ya Vifutu ) walioko wa Uwingi
5. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe ambao TULIPIGWA, KUUMIZWA na KUTESWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) ni kwamba HATUTAKI tena Wake zao kuja Makwetu huku wakitia HURUMA kutukopa Fedha ili Wakazilishe Familia na hata ikitokea tukaamua Kuwakopa basi Mkopo huo utaendana na Sharti Tukuka kwamba ni lazima Kwanza Magari yetu Mafupi na Meusi yapite njia zao za MPALANGE kutokea Yombo Vituka.
6. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa hasa MP ) tumeamua KUTOWASAIDIA tena kwa KUWASITIRI Kiungwana pale wakiwa WAMELEWA Chakari na Kizembe katika Baa za Kawe na badala yake tutawaachia Masela WAWAPASULIE MAYAI VIZA na WAAIBIKE vizuri.
7. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe ambao TULIPIGWA, KUUMIZWA na KUTESWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa hasa MP ) bila Kosa lolote kutokana na Wao ( Wanajeshi ) kupenda kuja KUFAKAMIA Migoma ( Mimalaya ) ya Uswahilini ( Uraiani ) Kawe hatutokuwa tunawaambia nani WAMEATHIRIKA kwa HIV ili tuwaokoe na badala yake sasa ( kutokana na ULEVI wao kupenda hovyo MBUNYE ) tutakuwa TUNAWALENGESHA kwa Mademu WAATHIRIKA ili Waupate na Wapukutike wote.
Ubaya Ubayani tu Kudadadeki..!!!!!!!!!
Kwamba hawakopi kwa raia?Acha ujinga,askari gani aende kuomba geto,akope pesa kwa raia,agongee pombe kwa raia? Na mkipigwa tena msingizie vingine. Alafu hauko specific, ni askari wa kikosi gani pale lugalo waliowatesa hao wananchi?
Nini?hahahahahahhahahaAcha ujinga,askari gani aende kuomba geto,akope pesa kwa raia,agongee pombe kwa raia? Na mkipigwa tena msingizie vingine. Alafu hauko specific, ni askari wa kikosi gani pale lugalo waliowatesa hao wananchi?
Kila mtu ana haki na maoni yake mwenyeweHuwezi kunionyesha kwa sababu hawapo!
Ni wajinga sana.Jeshi la Tanzania ndo taasisi inayoongoza kwa kuwa na mrundikano wa vilaza wengi zaidi kuliko taasisi ingine yoyote ile.
Kuanzia mkuu wao mpaka yule mwenye cheo cha chini kabisa, wote ni vilaza.
Wewe wasikilize tu hata wakiwa wanaongea. Kama una akili utagundua mapema sana uwezo wao wa kiakili.
Na ndo maana hata yule msemaji wao bila haya alisema kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la 6 kwa ubora duniani.
Kwa mtu mwenye akili, hawezi kusema kitu kama hicho maana hakina kabisa hata chembe ya ukweli wowote ule.
Kutaka ku-reason na wanajeshi wa Tanzania ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
JWTZ karibu wote ni vilaza. Sijawahi ona mtu aliyefaulu vizuri shuleni halafu akaamua kwenda jeshini.
Ila na sisi Watanzania tu waoga sana. Hao wanajeshi nao ni binadamu tu kama binadamu wengine.
Watu wanapaswa kujilinda. Mwanajeshi, ukiondoa silaha, hana nguvu za ziada kuwazidi watu wengine.
I say fight back. Hit them back. Test their chins and see if they won’t fall.
Askari wa tanzania wanayafanya sana haya. Sio wote ila baadhi yao. Kama huna hook nao, you can think otherwise, lakini hawa watu maisha yao ndio hayo yaliosemwa kabisa.Acha ujinga,askari gani aende kuomba geto,akope pesa kwa raia,agongee pombe kwa raia?
Haelewi huyoUjinga ni pamoja na kutokuwa specific wakati wa kutoa taarifa.
Lugalo ile nzima ina vikosi 8 halafu ukiulizwa ni kikosi kipi wamefanya hizo fujo mtaani,hutokuwa na majibu kwasababu ya kukurupuka kwa namna kama hii. Kuwa makini na taarifa zako.
Yooooo oops hii sasa ni police state, hawa thugs in uniforms wamepata ridhaa ya kuwa above law!,mkuu Nkanini naye amepitia jeshi sio jkt,pale 601&603,acha kutishia ,Tanzania hata akiwekwa ngedere pale magogoni utatawala watanzaniaUkiua mwanajeshi mmoja umefanya mambo mawili
1.umeua Raisi sababu Raisi hulindwa na wanajeshi
2.Umepindua nchi sababu nchi hulindwa na jeshi
Hao vijana wsthubutu kurush hata jiwe.la kutumia manati kwa mwanajeshi yeyote wakione cha mtema kuni wakirusha jieshi linawarushia risasi mabomu na makombora ya mssafa mafupi na marefu bila kujali yanatua kwa mtu mmoja au la
Kitendo kilichofanyika cha kuua mwanajeshi saa hii.kawe ilitakiwa iwe kifusi kwa kutwanga na mibomu ya kila namna
Hao Maaskari MP 40 wako vitani wamechemka hasa wako mbogo damu ya bosi wao aliyeuaawa inawawasha kama mbogo aliyejeruhiwa muwalete hao vijana elfu 8 wajaribu kuwakabili wakione cha mtema kuni
Askari ma MP 40 mnafanya kazi nzuri kawe endeleeni ongezeni mara mbili zaidi
ukiona gari ya polisi tu wanapeperusha bendera nyekundu ujue utawala wa sheria umesimama wakikuua au kukutia kilema utakoma wewe hupeleki popote na hushindiYooooo oops hii sasa ni police state, hawa thugs in uniforms wamepata ridhaa ya kuwa above law!,mkuu Nkanini naye amepitia jeshi sio jkt,pale 601&603,acha kutishia ,Tanzania hata akiwekwa ngedere pale magogoni utatawala watanzania
Ndyo yaletwe humu? StupidKwamba hawakopi kwa raia?
Unaumwa
Sipo Kawe,ila naunga mkono maazimio haya.1. Kuanza sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya hatutaki tena Wanajeshi wa Kawe kuja KUTUKOPA Pesa Sisi Raia wa Kawe na badala yake waende wakamkompe Amiri Jeshi Mkuu au CDF wao bila kumsahau Waziri wa Ulinzi
2. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kuja KUGONGEA ( kuomba Vyakula ) Makwetu pale Wakiishiwa Makwao na wakija kwa Makusudi tutawaitia Wezi ili Raia wafanye yao au tutawafungulia Mbwa Wetu Wakali ili waondoke na Kende zao ili wakafanyiwe vizuri Oparesheni Hospitalini Kwao Lugalo.
3. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kutaka walipe Kodi za Mwezi Mwezi huku URAIANI Kawe na sasa tunapokea Kodi za Miezi Kumi na Mbili tu kana hawana Wakalale Koridoni Nyumbani kwa CDF wao au Waziri wao wa Ulinzi
4. Kuanzia sasa HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kuja URAIANI kwa WALIOTUPIGA na KUTUUMIZA vibaya kutuomba tuwape Maghetto yetu ili Wabandue Mahawara zao ( Michepuko yao ) kwa Kukosa Hela ya Gesti / Loji na badala yake waende wakalale nao Viwanjani Kwao au pale Mapira kwenye Pori kunakotazamana na Chuo chao cha Tiba cha MCMS ili Wakangatwe vizuri na Nyoka Wakali ( hasa aina ya Vifutu ) walioko wa Uwingi
5. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe ambao TULIPIGWA, KUUMIZWA na KUTESWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) ni kwamba HATUTAKI tena Wake zao kuja Makwetu huku wakitia HURUMA kutukopa Fedha ili Wakazilishe Familia na hata ikitokea tukaamua Kuwakopa basi Mkopo huo utaendana na Sharti Tukuka kwamba ni lazima Kwanza Magari yetu Mafupi na Meusi yapite njia zao za MPALANGE kutokea Yombo Vituka.
6. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa hasa MP ) tumeamua KUTOWASAIDIA tena kwa KUWASITIRI Kiungwana pale wakiwa WAMELEWA Chakari na Kizembe katika Baa za Kawe na badala yake tutawaachia Masela WAWAPASULIE MAYAI VIZA na WAAIBIKE vizuri.
7. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe ambao TULIPIGWA, KUUMIZWA na KUTESWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa hasa MP ) bila Kosa lolote kutokana na Wao ( Wanajeshi ) kupenda kuja KUFAKAMIA Migoma ( Mimalaya ) ya Uswahilini ( Uraiani ) Kawe hatutokuwa tunawaambia nani WAMEATHIRIKA kwa HIV ili tuwaokoe na badala yake sasa ( kutokana na ULEVI wao kupenda hovyo MBUNYE ) tutakuwa TUNAWALENGESHA kwa Mademu WAATHIRIKA ili Waupate na Wapukutike wote.
Ubaya Ubayani tu Kudadadeki..!!!!!!!!!
Mnastahili kutandikwa Tena muhamishwe kbs. Mnamua afisa bila sababu. Ongera jwtz chakazeni1. Kuanza sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya hatutaki tena Wanajeshi wa Kawe kuja KUTUKOPA Pesa Sisi Raia wa Kawe na badala yake waende wakamkompe Amiri Jeshi Mkuu au CDF wao bila kumsahau Waziri wa Ulinzi
2. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kuja KUGONGEA ( kuomba Vyakula ) Makwetu pale Wakiishiwa Makwao na wakija kwa Makusudi tutawaitia Wezi ili Raia wafanye yao au tutawafungulia Mbwa Wetu Wakali ili waondoke na Kende zao ili wakafanyiwe vizuri Oparesheni Hospitalini Kwao Lugalo.
3. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kutaka walipe Kodi za Mwezi Mwezi huku URAIANI Kawe na sasa tunapokea Kodi za Miezi Kumi na Mbili tu kana hawana Wakalale Koridoni Nyumbani kwa CDF wao au Waziri wao wa Ulinzi
4. Kuanzia sasa HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kuja URAIANI kwa WALIOTUPIGA na KUTUUMIZA vibaya kutuomba tuwape Maghetto yetu ili Wabandue Mahawara zao ( Michepuko yao ) kwa Kukosa Hela ya Gesti / Loji na badala yake waende wakalale nao Viwanjani Kwao au pale Mapira kwenye Pori kunakotazamana na Chuo chao cha Tiba cha MCMS ili Wakangatwe vizuri na Nyoka Wakali ( hasa aina ya Vifutu ) walioko wa Uwingi
5. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe ambao TULIPIGWA, KUUMIZWA na KUTESWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) ni kwamba HATUTAKI tena Wake zao kuja Makwetu huku wakitia HURUMA kutukopa Fedha ili Wakazilishe Familia na hata ikitokea tukaamua Kuwakopa basi Mkopo huo utaendana na Sharti Tukuka kwamba ni lazima Kwanza Magari yetu Mafupi na Meusi yapite njia zao za MPALANGE kutokea Yombo Vituka.
6. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa hasa MP ) tumeamua KUTOWASAIDIA tena kwa KUWASITIRI Kiungwana pale wakiwa WAMELEWA Chakari na Kizembe katika Baa za Kawe na badala yake tutawaachia Masela WAWAPASULIE MAYAI VIZA na WAAIBIKE vizuri.
7. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe ambao TULIPIGWA, KUUMIZWA na KUTESWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa hasa MP ) bila Kosa lolote kutokana na Wao ( Wanajeshi ) kupenda kuja KUFAKAMIA Migoma ( Mimalaya ) ya Uswahilini ( Uraiani ) Kawe hatutokuwa tunawaambia nani WAMEATHIRIKA kwa HIV ili tuwaokoe na badala yake sasa ( kutokana na ULEVI wao kupenda hovyo MBUNYE ) tutakuwa TUNAWALENGESHA kwa Mademu WAATHIRIKA ili Waupate na Wapukutike wote.
Ubaya Ubayani tu Kudadadeki..!!!!!!!!!
Huu ni upumbavu, jeshi wanatakiwa walinde mipaka yetu na sio kukimbizana na raia mitaani, mipaka yetu ipo porous ndio maana msomali anatembea kutoka horohoro hadi mtwara bila shida ,wanajeshi wetu wanafanya operation kawe!!,wapumbavu kabisa, ukikosewa nenda police sio kutuletea kangaroo court, wale wanaojisikia ni trigger happy waende kwenye border yetu na Mozambique, kuna cold war pale, mwanajeshi akitumia nafasi yake ovyo ua tuukiona gari ya polisi tu wanapeperusha bendera nyekundu ujue utawala wa sheria umesimama wakikuua au kukutia kilema utakoma wewe hupeleki popote na hushindi
Sheria zina mipaka raia kuua mwanajeshi kosa lakini mwanajeshi kukuua raia kwenye opetation ndio kazi yake na silaha kuwa nayo hahitaji leseni kama raia mwanajeshi anagawiwa tu kama njugu
JWTZ ukiona wameingia mtaani hiyo ni vita hama mtaa toroka wako kwenye operation uwe wakili na Joho lako ujue hapo ni sawa na dela tu au kanzu watakumaliza haki zako na sheria zako utaeleza mbinguni au Jehanamu itategemea utakakoenda kama mahakama zipo baada ya wewe kuuawa
Kuua mwanajeshi ni kutangaza vita na wanajeshi ndio kazi yao kupigana vita
Mwanajeshi wao kauawa kawe hilo ni eneo la vita ndio maana wameingia wenyewe pale Joho la wakili au jaji ni sawa na gauni tu au dela au kanzu ya mwislamu mwenda msikitini
Kwenye vita utawala wa sheria husimama
Hadi mkome mtandikwe tu mnafanya kusudi mtegemee huruma hiyo hakuna.Huu ni upumbavu, jeshi wanatakiwa walinde mipaka yetu na sio kukimbizana na raia mitaani, mipaka yetu ipo porous ndio maana msomali anatembea kutoka horohoro hadi mtwara bila shida ,wanajeshi wetu wanafanya operation kawe!!,wapumbavu kabisa, ukikosewa nenda police sio kutuletea kangaroo court, wale wanaojisikia ni trigger happy waende kwenye border yetu na Mozambique, kuna cold war pale, mwanajeshi akitumia nafasi yake ovyo ua tu
Kwani Wajeda wenyewe wanasemaje juu ya hili tamko.,1. Kuanza sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya hatutaki tena Wanajeshi wa Kawe kuja KUTUKOPA Pesa Sisi Raia wa Kawe na badala yake waende wakamkompe Amiri Jeshi Mkuu au CDF wao bila kumsahau Waziri wa Ulinzi
2. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kuja KUGONGEA ( kuomba Vyakula ) Makwetu pale Wakiishiwa Makwao na wakija kwa Makusudi tutawaitia Wezi ili Raia wafanye yao au tutawafungulia Mbwa Wetu Wakali ili waondoke na Kende zao ili wakafanyiwe vizuri Oparesheni Hospitalini Kwao Lugalo.
3. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kutaka walipe Kodi za Mwezi Mwezi huku URAIANI Kawe na sasa tunapokea Kodi za Miezi Kumi na Mbili tu kana hawana Wakalale Koridoni Nyumbani kwa CDF wao au Waziri wao wa Ulinzi
4. Kuanzia sasa HATUTAKI tena Wanajeshi wa Lugalo kuja URAIANI kwa WALIOTUPIGA na KUTUUMIZA vibaya kutuomba tuwape Maghetto yetu ili Wabandue Mahawara zao ( Michepuko yao ) kwa Kukosa Hela ya Gesti / Loji na badala yake waende wakalale nao Viwanjani Kwao au pale Mapira kwenye Pori kunakotazamana na Chuo chao cha Tiba cha MCMS ili Wakangatwe vizuri na Nyoka Wakali ( hasa aina ya Vifutu ) walioko wa Uwingi
5. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe ambao TULIPIGWA, KUUMIZWA na KUTESWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) ni kwamba HATUTAKI tena Wake zao kuja Makwetu huku wakitia HURUMA kutukopa Fedha ili Wakazilishe Familia na hata ikitokea tukaamua Kuwakopa basi Mkopo huo utaendana na Sharti Tukuka kwamba ni lazima Kwanza Magari yetu Mafupi na Meusi yapite njia zao za MPALANGE kutokea Yombo Vituka.
6. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa hasa MP ) tumeamua KUTOWASAIDIA tena kwa KUWASITIRI Kiungwana pale wakiwa WAMELEWA Chakari na Kizembe katika Baa za Kawe na badala yake tutawaachia Masela WAWAPASULIE MAYAI VIZA na WAAIBIKE vizuri.
7. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe ambao TULIPIGWA, KUUMIZWA na KUTESWA vibaya na Wanajeshi wa Lugalo ( hasa hasa MP ) bila Kosa lolote kutokana na Wao ( Wanajeshi ) kupenda kuja KUFAKAMIA Migoma ( Mimalaya ) ya Uswahilini ( Uraiani ) Kawe hatutokuwa tunawaambia nani WAMEATHIRIKA kwa HIV ili tuwaokoe na badala yake sasa ( kutokana na ULEVI wao kupenda hovyo MBUNYE ) tutakuwa TUNAWALENGESHA kwa Mademu WAATHIRIKA ili Waupate na Wapukutike wote.
Ubaya Ubayani tu Kudadadeki..!!!!!!!!!
bilashaka kwa unavomkubali uyo jamaa akikuomba ndogo pia utampaKwa Uchokozi wa Wauwaji na Magaidi wa Hamas wanaopewa Msaada na Serikali hovyo ya Palestina, Iran, Lebanon na Syria GENTAMYCINE nikiwa kama Myahudi Mweusi naunga mkono kila kinachofanywa na Israel hasa ikiwa chini ya Role Model wangu Waziri Mkuu ( Mbabe, Shujaa na Mwerevu ) Benjamin BIBI Netanyahu aliyeko katika Avatar yangu ya ID hapa JamiiForums.