Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

Weweeee...unarijua geshi au unalisikia tu?
Wewe si wa kumpa masharti mwanajeshi.
 
Kwann msiende mkono kwa mkono?

Wanajeshi wa kibongo mbona waoga hivi.

Nendeni mkono kwa mkono na kwa idadi sawia na hao vijana. Nakuhakikishia hatarudi hata mmoja miongoni mwenu kwa kipigo mtakachopokea kutoka kwa vijana wa uswazi.

Ni upumbavu na uoga kutumia siraha kwa raia asie na siraha.

Hizi ni tabia za majeshi y nchi maskini
 
Ila wewe unapenda vurugu na ankal wangu 🤣🤣🤣
 
Nionyeshe wanajeshi watano wa JWTZ walio na akili…
Jakaya Mrisho Kikwete. (UDSM)

Abdulrahman Kinana (A Harvard University graduate, Hon. Abdulrahman Omar Kinana holds a number of key leadership positions, apart from being a successful businessman.

Nafikiri 'akili' kwako ni kupita vyuo vikuu bora vya hapa na nje ya bara la Afrika au ulimaanisha nini? Naamanisha kwamba kwako mtu aliyefaulu sana darasani ndiyo mwenye akili!!!

Nakupa kazi nenda JWTZ kuna wanasheria, wahandisi, madaktari, wahasibu , marubani kaangalie je wote hawa wamefeli????


Inaonyesha una majivuno na dharau!

Nafikiri hili tatizo linakuhusu, lifanyie kazi!

Egocentrism | Self-Centeredness, Cognitive Development ...​





21 Sept 2023egocentrism, in psychology, the cognitive shortcomings that underlie the failure, in both children and adults, to recognize the ...

Encyclopedia Britannica › science › egocentrism
 
Hahaha
 
Mna uhakika wanajeshi wetu wapendwa wanaweza kufanya mambo hayo?

Isije kuwa kuna M23 wamejichanganya.

Mimi siamini JWTZ inaweza kushambulia Raia wa Nchi yao ambao ndio wajibu wao tukuka wa kuwalinda?

Je huyo dereva bajaji na hao maboda boda mmejiridhisha kuwa sio M23 waliochomekwa na mtu Mrefu?

Mimi nakuwa na wasi wasi sana
 
Hao watu 75 wana familia na marafiki
 
Wewe naye ni kilaza na huenda ni mmoja ya hao vilaza wanajeshi wanaoishi karne iliyopita. Wanajeshi walikuwa wanapiga watu hovyo bila kujali huyu ni nani. Wanajeshi wenyewe ni njaa kali, wadogo kama piriton hata raia wakiamua kurudisha mapigo wataua wengi. Wengi ni walevi wa gongo na muda wote wako uraiani wakiomba. Huoni hata raia wakiamua kuwadhuru ni rahisi kabisa?
 
Utasababisha wakazi halisi wa Kawe wapate matatizo bure mtu mwenyewe hukai hata Kawe unaishi zako huko bunda vijijini.

Acha utoto mkuu
Kwenda zako huko. Unakuwa mwoga kama mbwa koko? Angalia utakuja kupasuliwa yai hivi hivi kwa ajili ya woga wa kijinga.
 
Kungekua na vilaza jeshini ndii nafasi zikitangazwa mnajipaga na ma-masters yenu na ma-Phd kuja kuomba ajira kwenye vilaza. Tafuta hela we dada acha kulalamika

Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
 
Siku wakikukaza uje pia kutoa ushuhuda

Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa post tutakutafuta popote ulipo, ili utueleze kiundani.
Kumbuka jeshi sio babu yako useme unautani nalo.
 
Hivi kumbe unabeba kichwa chenye kinyesi kiasi hicho?
 
angalia km hili lilivyo bogus. we hata akili ua kumtongoza malaya hauna. Hao wanajeshi na wewe ni km mbingu na ardhi. Hivi hamjioni wapumbavu mnatunishiana na wanajeshi? Mmejaa uvundo kiasi hicho kwenye vichwa vyenu? Mapumabavu nyie
 
Siwaachi Mkuu kwani Wameniumizia Demu wangu na sasa Nauuguza tu huku nikiwa nashindwa hata Kumbandua kwani kila nikimuomba Tamu yake anasema bado anasikia Maumivu ya Viungo. Wamenikera mno Mkuu.
ngoja wakupate wewe ulivyo jinga itakuwa siku yako ya mwisho kuliona jua. Mmejaa ushamba mno
 
Kikwete ndo mfano wa wenye akili?

Kınana kahitimu nini hapo Harvard? Elimu ya watu wazima?

Kwa taarifa yako sasa, shahada zenye heshima Harvard ni zile ambazo zina mchujo mkali.

Ni shahada ya kwanza na shahada za udaktari [MD], sheria, uchumi, na kadhalika.

Huyo Kinana kaenda Harvard kama alivyoendaga Sumaye. Kupitia mgongo wa elimu ya watu wazima.

Hao vigezo vyao havikuwa alama za masomo yao kwenye mitihani. Vigezo ni uzoefu wa kazi.

Kinana hawezi kutamba eti kasoma Harvard wakati wakati admission yake aliyopata ni ya kiungwana.

Hata Swizz Beats naye kasoma Harvard. Kaingia hapo kupitia mlango wa elimu ya watu wazima.

Hajashindana kupata admission na vitoto vya high school vyenye SAT score ya 1600!

Tatizo lako wewe na hao JWTZ wako ni ushamba. Ukishasikia Harvard tu unazuzuka.

Huangalii mtu kapataje admission hapo. Kawa admitted kuchukua program gani.

Wewe unaangalia jina tu kwa sababu ni mshamba na hujui.

Siyo kila cheti cha Harvard kina ujiko ulio sawa. Na si kila aliyepitia Harvard ana ujiko sawa na wengine waliopitia hapo.

I know. You don’t.

That’s a big, I mean, a huge difference.
 
Nasikia walimbaka pia
 
5 GENTAMYCINE hilo Sharti la kutokea Yombo 😀😀😀
 
Mkiendelea na uhuni we mtapigwa tu hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…