Tamko litolewe kukemea mwendokasi wa hizi treni.

Eti treni ikwepe? Treni itakwepa vipi?
Vizuri tu mkuu! Kwani Sheria inasemaje?

CAPTAIN WA TRENI AHAKIKISHE HAKUNA GARI KARIBU PINDI ANAPOKATIZA PENYE BARABARA YA MAGARI NA VYOMBO VINGINE VYA MOTO. NA ALIONAPO GARI KARIBU AU WATUMIAJAI WENGINE WA NJIA HIYO, ASIMAME MPAKA WATAKAPOMALIZA KUVUKA.

Sheria imeelekezwa hivyo! Kwani yeye "captain" wa TRENI yupo juu ya Sheria? Lazima sheria iheshimiwe na wote.
 
Captain wa treni apokonywe leseni ya kuendesha treni. Hasatahili kuendesha tena treni kwa uzembe aliouonesha!
 
Treni badala ya kukwepa ama kusimama akalifuata na kujigonga kwenye Basi linalosadikiwa kuwa la Magereza

No comment
 
Treni badala ya kukwepa ama kusimama akalifuata na kujigonga kwenye Basi linalosadikiwa kuwa la Magereza

No comment
Treni imefanya uzembe wa hali ya juu mno! Ilitaka kuoneshana umwamba na basi? Si ingekata hata kona ya ghafla na kuingia mtaroni kuliko kuligonga basi lisilokuwa na hatia?
 
Kwahyo jamaa alitakiwa amkwepe dereva wa gari hivi hii kitu inawezekana Kwa teen kukwepa mkuu?
Angezingatia kanuni za udereva wa treni, angeepuka ajali.

Kwanza, alitakiwa kuhakikisha kuwa basi halipo karibu alipotaka kuvuka barabara ya basi

Pili, alipoona basi limekaribia, alipaswa kusimama kwanza aliruhusu basi lipite ndipo aendelee na safari.

Au, kama hayo mawili yalishindikana, angebadili uelekeo, hata ingebidi, angegeuza na kurudi alikotoka kuliko kuliginga basi.
 
huyu atakuwa mfanyakazi wa serikali ndo akili zao zipo hivi treni ikwepe basi🤣🤣🤣🤣
 
Treni lingekwepaje na njia yake ni hio tu???
pia ni ngumu kwa treni kukamata break papohapo mwenye makosa nihuyo dereva wa gari la magereza!
 
Treni lingekwepaje na njia yake ni hio tu???
pia ni ngumu kwa treni kukamata break papohapo mwenye makosa nihuyo dereva wa gari la magereza!
Unapaswa umwelewe mtoa mada, kwamba, ni treni ndiyo ina makosa kwa sababu ilimfuata basi kwenye njia yake. Labda, dereva wa treni alifikiri ataogopwa na basi kwa sababu ya "hadhi" yake.

Si unajua "madereva" wa treni huwa wanaopgopwa na raia wengi?
 
Mbona pichani treni ipo kwenye njia yake???
Kabisa wa Magereza ndie ana makosa au kwakua ni Askari????
 
Kwahiyo hapo wewe umetoa hukumu bila kumsikiliza dereva wa Magereza, siyo sawa:
Unaweza kukuta treni ilipigiwa honi ili ikwepe ama isimame na haikufanya hivyo.
Mpaka nimecheka!

Ama kweli wewe ni kichwa! Salute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…