Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nakutumia tigo pesa, usije omba savanna mwanangu akakosa pampers
Usimpe za pampazi....
Hahahaha Naskia ndo wewe kumuomba shemeji ndo nni uache kabisa hahahahahaha
kwamba paka hana ugeni ha ha ha lolhahaha Evelyn Salt umesahau kwamba "Paka hana Ugeni"
Nimecheka sana nilikuwa sijaona hii sijui kwa nn shemdarling atoto hakuniita?
wewe bia hutaki naona unajichekesha chekesha tu hapa
Ndio unatusema sasa SI ungetuambia huko huko pm,kuanzia Leo siombi bia namuomba gari kabisaaaa
Omba uone nakufata huko huko nyabulogoya ohoooo
Kuna post za mwanzo kabisa pale kuna mtu umemuignore kabisa.. Na mtu huyo najua ndio tabia yake kubwa hahahaha
Ha ha ha we unataka kunigombanisha bana hakuna niliemuignore ila nimejibu nilipoona panatakiwa kujibu
nawe kumbe ni muhanga? Basi tutafanya movement yetu ha ha ha
Hahahaha Naskia ndo wewe kumuomba shemeji ndo nni uache kabisa hahahahahaha
Omba uone nakufata huko huko nyabulogoya ohoooo
sasa we ulitaka tuombe dawa wakati hatuumwi alaaaaa tutaomba bia Tu sie labda uifunge pm
Usiombe tena, ntakupa mimi. Kho! kho!
Wifi naona hujui gubu langu tehHahahaa ya nini nife kwa kiu na watu wa kuwaomba wapo????