Tamko: Sitaki shobo

Binadamu tunatofautiana mamii.
Wengine mishipa ya aibu na woga ishakata kitaaambo......anajilipua tu

Atakayeingia 18 zake huyo huyo...

Ila risky sana...maana hujui utakutana na maswaibu gani

We uchoyo tu unakusumbua
 
Kwangu beer,soda visheti ..vyote ruksa karibuni
hakuna FFU...feni huna?

Visheti saa hizi???

Tatizo umeme mdogo...... yaani hata baadhi ya taa zinawasha kwa mbinde...... kuna umuhimu wa kutafuta solar sasa (solar si inawasha feni????)
 
Visheti saa hizi???

Tatizo umeme mdogo...... yaani hata baadhi ya taa zinawasha kwa mbinde...... kuna umuhimu wa kutafuta solar sasa (solar si inawasha feni????)

Tafuta tanesco wakubadilishe line
au waje wafanye voltage improvement..
 
Ohooo line nyingine ndio hawana umeme kabisaaaaaa.........
Nahisi wao ndio mwendo wa kujipepea na khanga kama sio magazeti hahah

Basi hilo ni tatizo la overload
hapo hadi walete transfoma lingine...
kaombe three phase itakusaidia
 
Basi hilo ni tatizo la overload
hapo hadi walete transfoma lingine...
kaombe three phase itakusaidia

Hivi mkuu hii three phase kwa umeme wa majumbani watakubali kuweka?? maana nimezoea kuona wakiwapa wenye mashine na viwanda tu
 
Hivi mkuu hii three phase kwa umeme wa majumbani watakubali kuweka?? maana nimezoea kuona wakiwapa wenye mashine na viwanda tu

Wanaweka..unaomba tu unalipia kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…