Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #101
Fanya mambo, kama ni hizo tu!
Nakupm muda si mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya mambo, kama ni hizo tu!
Nakupm muda si mrefu
jiwe limetupwa gizan.... ila hii haituhusu ma Mr enh!!?
Binadamu tunatofautiana mamii.
Wengine mishipa ya aibu na woga ishakata kitaaambo......anajilipua tu
Atakayeingia 18 zake huyo huyo...
Ila risky sana...maana hujui utakutana na maswaibu gani
We uchoyo tu unakusumbua
Hahahahahah
Hulali ?au night shift?
Jotoooooooooo usingizi umekata
Kwangu beer,soda visheti ..vyote ruksa karibuni
hakuna FFU...feni huna?
Visheti saa hizi???
Tatizo umeme mdogo...... yaani hata baadhi ya taa zinawasha kwa mbinde...... kuna umuhimu wa kutafuta solar sasa (solar si inawasha feni????)
Tafuta tanesco wakubadilishe line
au waje wafanye voltage improvement..
Ohooo line nyingine ndio hawana umeme kabisaaaaaa.........
Nahisi wao ndio mwendo wa kujipepea na khanga kama sio magazeti hahah
Basi hilo ni tatizo la overload
hapo hadi walete transfoma lingine...
kaombe three phase itakusaidia
aiseee nimecheka mno hadi nikadondosha sonny yangu aisee hao wengine hua ni wagonjwa wa akili uwe unawasamea tuJukwaa la sports hulijui, au nawe umelewa bia za kuomba
Basi hilo ni tatizo la overload
hapo hadi walete transfoma lingine...
kaombe three phase itakusaidia
Hivi mkuu hii three phase kwa umeme wa majumbani watakubali kuweka?? maana nimezoea kuona wakiwapa wenye mashine na viwanda tu
Hivi mkuu hii three phase kwa umeme wa majumbani watakubali kuweka?? maana nimezoea kuona wakiwapa wenye mashine na viwanda tu
Wanaweka..unaomba tu unalipia kidogo