Tamthilia ipi unaweza kuangalia na familia yako?

Tamthilia ipi unaweza kuangalia na familia yako?

Achana na tamthilia za kiswahili uongo uongo mwingi angalia za kizungu kama FROM,THE JACKAL,BANSHEE, KALEIDOSCOPE, BLACKLIST,The Spy etc.
Lengo langu tuangalie maudhui yake
 
Kila program kwenye TV ina PG ratings kuonyesha suitability yake kwa certain age groups.

Mfano hiyo tamthilia unayotaka kutizama kama ina PG 13 ina maanisha sio suitable kuangaliwa na watoto chini ya miaka 13.

So hapo sasa ni wewe mzazi kuamua mwenyewe kumharibu mwanao au kumlea kwenye mstari.

Nb: PG ni Parental Guidance

Adios.
 
Back
Top Bottom