Tamthilia ipi unaweza kuangalia na familia yako?

Tamthilia ipi unaweza kuangalia na familia yako?

Kila program kwenye TV ina PG ratings kuonyesha suitability yake kwa certain age groups.

Mfano hiyo tamthilia unayotaka kutizama kama ina PG 13 ina maanisha sio suitable kuangaliwa na watoto chini ya miaka 13.

So hapo sasa ni wewe mzazi kuamua mwenyewe kumharibu mwanao au kumlea kwenye mstari.

Adios.
Kwel kbs
 
Achana na tamthilia za kiswahili uongo uongo mwingi angalia za kizungu kama FROM,THE JACKAL,BANSHEE, KALEIDOSCOPE, BLACKLIST,The Spy etc.
Kwa hiyo hizi ndizo zina ukweli? Yani ufanye mauaji ya vile usikamatwe.
Zote zimejaa uongo ila naunga mkono sisi story zetu na acting bado sana.
The day of the jackal nliielewa sana.
Kuna ile movie inaitwa sisso sijui, yani ina uongo hadi nlishindwa hata kuimaliza
 
Hii ni movie nzuri kwa familia kuiangalia ina mafunzo mazuri najua si moja ya hizo tamthilia ila ukija kuingalia na familia utanishukuru inaitwa KISS AND KILL.
 
Achana na tamthilia za kiswahili uongo uongo mwingi angalia za kizungu kama FROM,THE JACKAL,BANSHEE, KALEIDOSCOPE, BLACKLIST,The Spy etc.
Banshee yule mwamba anawambato wakina mama mwanzo mwisho!! Movie minyanduano kwa wingi 😁😁
 
Back
Top Bottom