Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Hizi huwezi kuangalia na familia yako.Achana na tamthilia za kiswahili uongo uongo mwingi angalia za kizungu kama FROM,THE JACKAL,BANSHEE, KALEIDOSCOPE, BLACKLIST,The Spy etc.
Kwel kbsKila program kwenye TV ina PG ratings kuonyesha suitability yake kwa certain age groups.
Mfano hiyo tamthilia unayotaka kutizama kama ina PG 13 ina maanisha sio suitable kuangaliwa na watoto chini ya miaka 13.
So hapo sasa ni wewe mzazi kuamua mwenyewe kumharibu mwanao au kumlea kwenye mstari.
Adios.
Zipo ambazo ni true story kama evermoreHizi huwezi kuangalia na familia yako.
Na kimsingi filamu yeyote ni uongo
Kuna matukio yanaongezwa ili filamu itazamike(for dramatic effect).Zipo ambazo ni true story kama evermore
Kwa hiyo hizi ndizo zina ukweli? Yani ufanye mauaji ya vile usikamatwe.Achana na tamthilia za kiswahili uongo uongo mwingi angalia za kizungu kama FROM,THE JACKAL,BANSHEE, KALEIDOSCOPE, BLACKLIST,The Spy etc.
THE JACKAL unaangalia vipi na familia mkuu?Achana na tamthilia za kiswahili uongo uongo mwingi angalia za kizungu kama FROM,THE JACKAL,BANSHEE, KALEIDOSCOPE, BLACKLIST,The Spy etc.
Banshee yule mwamba anawambato wakina mama mwanzo mwisho!! Movie minyanduano kwa wingi 😁😁Achana na tamthilia za kiswahili uongo uongo mwingi angalia za kizungu kama FROM,THE JACKAL,BANSHEE, KALEIDOSCOPE, BLACKLIST,The Spy etc.