Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Mpo sahihi ila visa havina mtiririko mzuri, wanafake uhalisia kwenye mambo mengi sana ikiwemo mazingira na utendaji wa kazi.
Ni kweli.
Huwezi igiza kwenye majumba makubwa vile alafu usiigize kwa akili na Kisomi.
Lazima uwe mfanyabiashara mkubwa au mtawala. Na lazima hata lugha na mipango itakayojitokeza kwenye maisha yako lazima Watu waone inalingana na maisha inayoishi.