Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hiyo kazamoyo ukisema mbaya wavuta bangi na wacheza vigodoro watakujia juu [emoji23]Yani siku hz kuangalia tamthilia za kibongo ni ujinga kabisa..tamthili nzuri ambayo ilikua ina mafunzo ilikua ya KOMBOLELA na kidogo zahanati ya kijiji...ila zingine ni ujinga jinga tuu...kama hyo ya mtaa wa kaza moyo ni ushenzi mtupu..matusi yamejaa mle,uvutaji bangi,magenge ya kihuni..sijui kwakweli inafundisha nini...
Bora kuangalia documentaries