Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Mwanzoni nilihisi hivyo lakini wahusika wakuu mara nyingi hubeba jina la kazi ya fasihi kama ni huba kwa maana ya upendo/mapenzi yalibidi yatamalaki baina yao.Lakini nilichokiona ni kama alivyosema Mtibeli;Umalaya au udangaji.Ha ha ha ha Kwa akili za mtunzi utakuta Tima na Yule jamaa msomali
Bora wangetafuta jina linaloendana na maudhui yao.