Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Mpo sahihi ila visa havina mtiririko mzuri, wanafake uhalisia kwenye mambo mengi sana ikiwemo mazingira na utendaji wa kazi.
Juakali, Huba, Yalaiti sijui Wimbi zote ni TAKATAKA!
Nikimuonaga JB na likitambi lake nasikia kichefuchefu.
Yani siku hz kuangalia tamthilia za kibongo ni ujinga kabisa..tamthili nzuri ambayo ilikua ina mafunzo ilikua ya KOMBOLELA na kidogo zahanati ya kijiji...ila zingine ni ujinga jinga tuu...kama hyo ya mtaa wa kaza moyo ni ushenzi mtupu..matusi yamejaa mle,uvutaji bangi,magenge ya kihuni..sijui kwakweli inafundisha nini...
Bora kuangalia documentaries
Huba nliachaga kuangalia
Bongo muviiiiView attachment 2842937
[emoji16][emoji16]We mtake radhi klopp
Bongo movie hata Subtitles za kiingereza ni shida [emoji3]Wanajizungusha sana alafu hakuna wanachokifanya. Mtazamaji unajaribu kulazimisha kuona wanafanya nini lakini unagundua hakuna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yan bongo hamna kisa tofaut na mape z ,
Loloita -tofaut na kiss cha lolita visa vingine ni upuuzi tu , yan huyu kalala na huyu na huyu utafikiri hamna visa tofauti n mapenzi.
Kama utamruhusu mwanao aangalie kaza moyo - akija kuwa panyaroad au malaya usiseme kajifunzia wapi ww ndo umemfundisha
Yule mtunzi wa Kombolela na zahanati ya kijiji anajua sana.Yani siku hz kuangalia tamthilia za kibongo ni ujinga kabisa..tamthili nzuri ambayo ilikua ina mafunzo ilikua ya KOMBOLELA na kidogo zahanati ya kijiji...ila zingine ni ujinga jinga tuu...kama hyo ya mtaa wa kaza moyo ni ushenzi mtupu..matusi yamejaa mle,uvutaji bangi,magenge ya kihuni..sijui kwakweli inafundisha nini...
Bora kuangalia documentaries
Zaidi ya kufundisha Umalaya na Uzinifu hiyo Tamthilia haina Jipya.
Mtu anamuoa huyu kesho anaolewa na yule jioni analala na yule asubuhi anamrudi yule. Ovyooo sana
Tamthilia nilizowahi zitazama na kuona nzuri.
KOMBOLELA
ZAHANATI YA KIJIJI
KAPUNI
KOSA MOJA hii baadae niliacha kuangalia nna sababu zangu, ila kidogo ilinishawishi.
Waende hollywood wakajifunze jinsi sinema zinavyotengenezwa. Poor editing,upigaji picha wa hovyo, mandhari haziendani na visa. Dah!
Ukitaka familia yako iharibikiwe basi endekeza hizi bongo movie ndani kwako.
Movie au Tamthiliya iwe nzuri inahitaji watu watatu,muhimu sana Producer, Director na Editor.Hawa watu wanapaswa kufanya Kazi kwa umakini wa hali ya juu sana,Lakini Bongoland unakuta Producer,Director na Editor ni mtu mmoja hapa huwezi pata matokeo bora.
Angalia wazalishaji na waongozaji wa movie kama James Cameroon nk,namna wanavyo fanya Kazi alafu linganisha na Wabongo ni mbingu na ardhi.
Kuhusu jina la movie au Tamthiliya (fani) kutoendana na Maudhui,hapa naweza sema Kuna shida ya Elimu kubwa sana kwenye tasnia ya movie Tanzania.
Wajifunze hata kwa mwamba SRK,namna movie zake zinavyo kuwa na mvuto wa kipekee hasa kwenye mapenzi.