Tamthilia ya Huba haiendani na jina lake. Kinachoendelea ni upotoshaji na uhuni

Hiyo kazamoyo ukisema mbaya wavuta bangi na wacheza vigodoro watakujia juu [emoji23]
 
Niliangalia siku moja tu na kuhitimisha kwamba huu ni uchafu......
 
Umeandika nini sasa hapo, kwahiyo kama kuna uharibifu kiasi kwenye jamii ndio wazidi kuu promote ili jamii yote ione kuwa ni sawa na yote iharibike au
Hakuna anayelazimishwa kuangalia, ila hao wanaoratibu ubora wanasemaje!? Tanzania Sio kisiwq, ile ni tamthilia na Sio maombezi ya kidini
 
Ila ukiangalia kwanini wabongo ni tofauti na nchi nyingine kweny uigizaji ,Moja wapo ni kiwango Cha elimu ya Sanaa , nchi za wenzetu Kwa mfano uturuki mtu anachukua degree ya uigizaji ndioo anaingia jukwaani lakini bongo Leo. mtu mwingine anaamka tuh basi na yy anataka kuigiza kwasababu ya ugumu wa maisha na kusema kuwa ana kipaji bas inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…