Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Tofautisha isidingo na juakali, isidingo ilihusu wakazi wa mji fulani, ilikuwa kisa ikiisha inakuja stori nyengine, yani mtu anahama, anakufa anahamia mtu mwengine, kam ilivyo katika miji halisi duniani, ila jua kali kisa ni cha wahusika haohao hata stori imeisha ila bado haohaoIsidingo ilichukua miongo kadhaa kuisha.
Muache Lamata aendelee kutengeneza pesa na vijana wa mjini wauze sura kwa jina la uigizaji.
Maana hiyo tamthilia imekuwa kimbilio la kila mwenye jina mjini haijalishi ni wa tasnia gani.
Yeyote mwenye ku trend town anapewa nafasi ya kuigiza. Tusibiri kumuona mama wa Kichaga alietoa kero za TRA nae apewe nafasi ya kuigiza humo kwenye hiyo tamthilia.
OkTofautisha isidingo na juakali, isidingo ilihusu wakazi wa mji fulani, ilikuwa kisa ikiisha inakuja stori nyengine, yani mtu anahama, anakufa anahamia mtu mwengine, kam ilivyo katika miji halisi duniani, ila jua kali kisa ni cha wahusika haohao hata stori imeisha ila bado haohao
Umeelekeza vizuri sana hapa hadi nimependa safi sana.Tofautisha isidingo na juakali, isidingo ilihusu wakazi wa mji fulani, ilikuwa kisa ikiisha inakuja stori nyengine, yani mtu anahama, anakufa anahamia mtu mwengine, kam ilivyo katika miji halisi duniani, ila jua kali kisa ni cha wahusika haohao hata stori imeisha ila bado haohao
Mbona tayari ashapewa "pointment' na Lamata!🤣🤣🤣🤣!!!Isidingo ilichukua miongo kadhaa kuisha.