Tamthilia ya Kombolela Season 2 ni kali sana

Tamthilia ya Kombolela Season 2 ni kali sana

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Wakuu…

Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine.

Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi Kikala na dada zake akina Siwa na Mwadawa!!

Inasadifu maisha halisi ya uswahilini…
 
Back
Top Bottom