Ushiled
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 656
- 1,153
Madawa angepewa miguu sijui ingekuwaje aiseeWakuu…
Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine.
Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi Kikala na dada zake akina Siwa na Mwadawa!!
Inasadifu maisha halisi ya uswahilini…