Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kama hii ya UgandaKuna wakati bongo movie wanatoa vitu vizuri
Director apewe maua yakeSiwa na Mwadawa ndo kiboko ya uswahilini, Kobisi sasa dah mzee Kikala kazi anayo
NakaziaWakuu…
Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine.
Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi Kikala na dada zake akina Siwa na Mwadawa!!
Inasadifu maisha halisi ya uswahilini…
Kobisi Kikala, the living legend..tuseme inshallah 😂😂
Hiyo episode nili kuwa home likizo, tuli cheka Sana😂😂Kobisi Kikala, the living legend..
Kobisi ndo lile libonge lisilo na umbo maalum amaKobisi Kikala, the living legend..
HeheheNikiwa na stress naweka bando natazama kombolela kwa azamtv max lazma nicheke
🤣🤣🤣Hiyo episode nili kuwa home likizo, tuli cheka Sana😂😂
Daah ndio huyohuyoKobisi ndo lile libonge lisilo na umbo maalum ama
SawaDaah ndio huyohuyo
Sasa "daah" ya nini umechoka auDaah ndio huyohuyo
mdogo wangu kabla ya kupanda school basi uta sikia tuseme inshallah 😂🤣