Madawa angepewa miguu sijui ingekuwaje aiseeWakuu…
Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine.
Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi Kikala na dada zake akina Siwa na Mwadawa!!
Inasadifu maisha halisi ya uswahilini…
For sureHilo jamaa linaitwa Abdul writer linajua mpaka linakera aisee imesimamia kucha
Ndio tamthiliya pekee ninayoitazama Kimwili na kiakili. Hakika Abdul aliketi chini kuandika tamthiliya hii.
Hata season ya kwanza ni tamu mno. Sikuwa mtazamaji mpaka niliposhawishiwa na rafiki yangu.
Pia ungebahatika kutazama Zahanati ya Kijiji ndo ungeona jinsi Abdul alivyo mtamu...
Usisahau Saloon ya Mama Kimbo
Watakapoamua kuanza hivyo nina hakika watafunga mitaa.Mimi natamani siku ni anze kuangalia season one na two upya mwanzo mwisho
Siwa na Mwadawa ndo kiboko ya uswahilini, Kobisi sasa dah mzee Kikala kazi anayo
Hahahaha,miguu hana ila mdomo😀😀Ukweli usemwe, hakuna tamthilia Mwadawa( Bi star) yupo usipende uwigizaji wake humo ndani, anajua kuvaa uwalisia sana, kwa waigizaji wanao chipukia wangejifunza kwake
yani anakipaji kikubwa sana
sijui Kwa nini mwadawa awampi tuzo ya mwigizaji bora wa kike/mwigizaji mkongwe anaefanya vizuri tokea kitambo hadi leo.
Mama KibakuliUkweli usemwe, hakuna tamthilia Mwadawa( Bi star) yupo usipende uwigizaji wake humo ndani, anajua kuvaa uwalisia sana, kwa waigizaji wanao chipukia wangejifunza kwake
yani anakipaji kikubwa sana
sijui Kwa nini mwadawa awampi tuzo ya mwigizaji bora wa kike/mwigizaji mkongwe anaefanya vizuri tokea kitambo hadi leo.
Na nyamayaoMama Kibakuli
Hiyo haina mambo ya kunyanduana kama Jua Kali? Maana hiyo tamthilia richa ya kupendwa na grl friend wangu, mimi naona kama mtunzi wake anazidi kuchochea mmomonyoko wa maadili.Wakuu…