Tamthilia ya SIRI , imekaa kimchongo, ila Inaonyesha namna gan GOOD BOYS ,wakikutana na Wadada wa mjini , wanapelekwa mikono juu mwendo wa mateka πŸ˜…

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!.

Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI.

Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby πŸ˜…πŸ˜….
 
Sifahamu hy tamthilia wala sijaelewa ulichozungumzia ila nimesikitika sana
 
Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!.

Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI.

Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby πŸ˜…πŸ˜….
Hatari sana wadada wa kazi nanyi mmejifunza kuhusu JF mbona tutapata shida humu. Mtaanzisha sana nzuri zenu za kusimuliana hizo tamthiliya zenu za kiduanzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…