Tamthilia ya Zahanati Kijijini

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho ntaangalia marudio
 
Tausi kapata nafasi ya kwenda Swizland km model,mbwana kafeli mtihani wa kidato Cha nne,mama mwazani analia na familia yake coz hakuwa mama bora kwa wanae,bi ubwa vyeti feki vimemgharimu kafukuzwa kazi,mtendaji ,Dr na Gati wamekamatwa,Diku katoboa kapata nafasi ya kwenda kucheza Azam spots Club so kaenda na kaka yake masalu,zungu kabaki peke yke mwembe togwa na ndoto yake ya kuvua samaki mkubwa, mbiki anaumwa baada ya kumuona mama chabala na chabala,mauja kaenda kumuaga ombeni anapelekwa nje ya nchi kwa matibabu
 

Hawajamalizia tamthilia iyo
 
Basi haifai kuangaliwa na familia mm nionaga juu juu tuu sijaipenda hayo maudhui
 
Basi haifai kuangaliwa na familia mm nionaga juu juu tuu sijaipenda hayo maudhui
Kuangalia na familia haifai aisee
Japo kuna sehemu Angalau ina nidhamu
Ila asilimia kubwa ni ujinga,huwezi angalia na watoto,,,Mimi huwa naangalia na sister,Kuna sehemu naona aibu kuangalia.
 
Kwahiyo nawe kuna manesi wanaishi na kufanya vile kwenye zahanati ipi nchi hii. Wameongeza sana Mbwembwe na kuua uhalisia wake bro.
Mi naisikia tu!
Kwa bongo hapa naangalia juakali tu,naona wanajitahidi
 
Kosa 1 niliachaa kitamboo, japo mwanzo niliipendaa, ila ilikuja kunikataa stimu kabisaa aaah
Kisa nini mkuu,,tuambie ili tujilekebishe,,,sisi wasanii tanawategemea nyinyi hadhira ili kuboresha kazi zetu
 
Siangaliagi aisee wabongo na mm maji na mafuta
Mkuu Mara nyingi sisi kazi zetu zimebase kwenye maudhui ya kitanzania( content) Na huwa tunajaribu kuonyesha maisha halisi na tamaduni zetu,,,ambamo ndani yake kunakuwa na migogoro eidha ya mirath,,Mahusiano,,pesa nk,,,soo jitahidi hata siku moja moja kutupa Masikio na macho yako uone tunachokifanya,,,huenda ukatuelewa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…