Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wanajiita utatu mtakatifu😂Wale manesi wananiachaga hoi sana mambo yao, [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajiita utatu mtakatifu😂Wale manesi wananiachaga hoi sana mambo yao, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mwenyewe si muumini wa movieSiangaliagi aisee wabongo na mm maji na mafuta
Hhhha nimecheka sanaaUmeona anavyomwambia naa aweke mkia kule mbele 🤣
Mimi Cathy ananiboa.
Ameharibu mchezo wote,, huwezi kuwa na mwanamuziki amepoa vile utadhani anaimba nyimbo za kuabudu.
Ngoja nianze kufatilia huwa nachunguliaga tu mara moja moja sanaMimi mwenyewe si muumini wa movie
Ila hii ni nzuri balaa
Hata kama sanaa 😂😂😂ndo bi ubwa akafue na kuoga choo cha wanaume😂😂😂yan wale wanafurahisha snNdiyo maana ya sanaa
Lazima mbwembwe ziongezwe tupate comedies lakini uhalisia upo pale pale
Wapo wauguzi washirikina
Wapo wanaofitiniana makazini
Wapo wasio na passion na kazi zao
Wapo wasio na weledi na kazi zao
Wapo wauza dawa wasio na taaluma
Na wapo wenyeviti/watendaji wanaochukulia vijiji ni mali zao binafsi
Sanaa sanaa sanaa!
Ile scene ndiyo inayochekesha zaidi🤣Jamani
Watu wa mwembetogwa wabaya jamani
Mimi si nililala ndani😂🤣🤣🤣🤣
Bi Star,mama MwazaniSi mpenz wa bongo movie,niliikuta wanaitizama nami nikajikuta naitizama, iko poa saana...
Bongo waigizaji ni wachache mnoo wengi si wazuri hawajui kuuvaa uhusika, mtu unaona kabisa huyu anaigiza,habebi uke uhusika.. ila yule mama ambae zamani alikuwa mama nyamayao na kibakuli yuko vizuri mnoo, haimbwi lakini ni moja kati ya waigizaji bora tz.. kwenye zahanati sijui anatumia jina gani mwanae mguu wake mmoja ni mbovu.
Wengi wamejitahidi kubeba uhusika na ndio maana inaonekana ni nzuri.
Yaani hii sceneIle scene inayochekesha zaidi[emoji1787]
That’s the whole point!😂Hata kama sanaa 😂😂😂ndo bi ubwa akafue na kuoga choo cha wanaume😂😂😂yan wale wanafurahisha sn
Mie napenda ya Tausi na Masalu[emoji91]That’s the whole point![emoji23]
Sasa namna walivyokuwa wanajibizana asee ni kaka kweli hawaigizi, Bi. Ubwa na wenzao wako very natural wallah siwezi ikosa kutazama [emoji23][emoji23][emoji23]
Unazizungumziaje zile love story za
Mbiki na Msichoke
Tausi na Masalu
Ombeni na yule bi mzee (hii naipenda sana)[emoji23][emoji23]
Couple ya ombeni ni 🔥 napenda anavyompenda yule mzee yan utadhn kweli😂😂😂 ila ndo wapo kuharibiwa😂😂..That’s the whole point!😂
Sasa namna walivyokuwa wanajibizana asee ni kaka kweli hawaigizi, Bi. Ubwa na wenzao wako very natural wallah siwezi ikosa kutazama 😂😂😂
Unazizungumziaje zile love story za
Mbiki na Msichoke
Tausi na Masalu
Ombeni na yule bi mzee (hii naipenda sana)😂😂
Kabisaa tofauti na juakali huba kila mtu anafanya kazi ofisini maisha mazuri wabongo bwanaAsee moja ya tamthiliya ninayoifatilia sana
Strory kali
Wahusika wako natural unaweza dhani hawaigizi
Mazingira ni halisi
Ubora wa picha na sauti ni onpoint
Kabisaa mkuuuNdiyo maana ya sanaa
Lazima mbwembwe ziongezwe tupate comedies lakini uhalisia upo pale pale
Wapo wauguzi washirikina
Wapo wanaofitiniana makazini
Wapo wasio na passion na kazi zao
Wapo wasio na weledi na kazi zao
Wapo wauza dawa wasio na taaluma
Na wapo wenyeviti/watendaji wanaochukulia vijiji ni mali zao binafsi
Sanaa sanaa sanaa!
Hizi nyingine nyingi watu mda woote wapo na makeup.. Hadi muda wa kulala😂😂 adi unashangaa ni kwelii jamanii?Yaani hii scene
Na ile ya J5 hii
Alikuwa amebeba fuko la nguo
Mgonjwa anamwambia shkamoo
Anajibu shkamoo mwenyewe[emoji1787]
Umebeba Nini
Eti nywele zakoo[emoji23]
Yaani yule mama ni boonge la comedian
Bahati mbaya waandaaji wengi wameacha watu wenye vipaji kama Hawa
Ila wanatujazia watu ambao hata kuigiza hawawezi, kisa tu jitu Lina mwenekano mzuri.