Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hii zahanati namuunga mkono kwa asilimia zoteMwambaa Abdulwriter basi anaweza beba tunzo ya Tatu mfululizo
Nimesikia ombeni kakata moto ngoma hiyoOmbenii [emoji21][emoji21][emoji21]
huyo mzee fala sana alikuwa anamfundisha mkewe kusoma etiBi Ubwa na mzee Milanzi[emoji23][emoji114]
Nembo anaupiga mwingi.wanajitahidi sana
pale mtendaji alipopiga risasi watu walivyosepa dah
pia kuna mwana kageuka boda kumbeba bi ubwa kule kosa moja mwanetu jay mzee wa macho matatu na chawa wake nembo
Anasema hana mbambamba [emoji23]Bi Ubwa na mzee Milanzi[emoji23][emoji114]
yule anaelia lia?alikuwaga dem wa jay mwanzo sijui mamdogo wake nah?Nembo anaupiga mwingi.
Ule mchezo aliyeuharibu ni Caty.
Yeahyule anaelia lia?alikuwaga dem wa jay mwanzo sijui mamdogo wake nah?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Saint Anne hilo kochi unalokalia kuangalia tamthilia litakua limebonyea limetengeneza shimo sio kwa kukariri huko tamthilia zote hizo.
Kuna dada mmoja huko moshi alikua yeye na Tv na matamthilia enzi hizo ya kifilipino yani kochi lilikua la ngozi mpk ngozi ikachanika pakatokea mbonyeo wa hatari...sasa bwana yule dada alikua ameolewa mumewe akirudi yupo busy na tamthilia inaisha saa tano kasoro..kuna muda anapandishia na movie...weee alichofanyiwa na yule mumewe hatakuja asahau...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zahanati imenifanya niangalie TV.
Kwa kweli kochi ninalokalia ni special ..
Huwa naweka mito, nakaa juu yake
Mito imebonyea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzenu leo ningejua
Hata nisingekuja kazini
Presha ipo juu juu kama nimepanda farasi
Kumbe nipo hapahapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Saint Anne hilo kochi unalokalia kuangalia tamthilia litakua limebonyea limetengeneza shimo sio kwa kukariri huko tamthilia zote hizo.