Tamthilia ya Zahanati Kijijini

Tamthilia ya Zahanati Kijijini

wanajitahidi sana
pale mtendaji alipopiga risasi watu walivyosepa dah
pia kuna mwana kageuka boda kumbeba bi ubwa kule kosa moja mwanetu jay mzee wa macho matatu na chawa wake nembo
 
wanajitahidi sana
pale mtendaji alipopiga risasi watu walivyosepa dah
pia kuna mwana kageuka boda kumbeba bi ubwa kule kosa moja mwanetu jay mzee wa macho matatu na chawa wake nembo
Nembo anaupiga mwingi.

Ule mchezo aliyeuharibu ni Caty.
 
Wewe Saint Anne hilo kochi unalokalia kuangalia tamthilia litakua limebonyea limetengeneza shimo sio kwa kukariri huko tamthilia zote hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zahanati imenifanya niangalie TV.
Kwa kweli kochi ninalokalia ni special ..
Huwa naweka mito, nakaa juu yake
Mito imebonyea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zahanati imenifanya niangalie TV.
Kwa kweli kochi ninalokalia ni special ..
Huwa naweka mito, nakaa juu yake
Mito imebonyea.
Kuna dada mmoja huko moshi alikua yeye na Tv na matamthilia enzi hizo ya kifilipino yani kochi lilikua la ngozi mpk ngozi ikachanika pakatokea mbonyeo wa hatari...sasa bwana yule dada alikua ameolewa mumewe akirudi yupo busy na tamthilia inaisha saa tano kasoro..kuna muda anapandishia na movie...weee alichofanyiwa na yule mumewe hatakuja asahau...
Itaendelea....
 
Mwenzenu leo ningejua
Hata nisingekuja kazini
Presha ipo juu juu kama nimepanda farasi
Kumbe nipo hapahapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom