Hakika na Mungu akusaidie,mana ukiweza kuvumilia na kutokata tamaa kama ww bhasi lazima utasimama siku mojaYes details ndogondogo mara nyingi tunazidharau lakini ndozenye maana kwenye biashara mkuu,haikuwa rahisi maana nilikata mpk mtaji wenyewe lakini nilisimama tena now namshukuru Mungu
Changamoto ni nyingi hata sijui nianzie ipi ila kubwa kuliko zote nilipoingia kwenye ufugaji ugonjwa ukaingia bandani kila siku naokota kuku 15-30 wamekufa na kati ya kuku 700 niliuza 150 sitasahau
Kutofanya research ya biashara kabla ya kuanzisha kulinicost sana kwenye biashara ya mgahawa unapika chakula hakuna wateja kila siku unalaza aisee
Nilifungua duka la reja reja kwa mtaji wa million moja na nusu, nikwamweka wife anisaidie kuuza sababu yuko home free, kumbe mwenzangu hapendi biashara, baada ya miezi mitatu vitu vimeisha dukani nimemkuta na balance ya laki mbili tu, namshukuru mungu nilifunga duka nikawekeza kwenye kufuga mbuzi naishi mjini mbuzi nafungia kijijini msimamizi ni mama yangu,namshukuru mungu nilianza na mbuzi wa nane saivi mimefikisha mbuzi arobaini na tatu. daima nitaendelea kumwamini mzazi kuliko Mke.
Na wengi tusio andika haya mambo tunakosa kuyajua na biashara inakua haikui kwa kuto kujua bidhaa zipi nzuri na zinazotoka zaidi
Hakika na Mungu akusaidie,mana ukiweza kuvumilia na kutokata tamaa kama ww bhasi lazima utasimama siku moja
I'm interested na hyo case ya kuku kufa hapo, ulishawahi kuwapa chanjo hao kuku na je, ulipata elimu ya ratiba ya chanjo? Na vp baada ya kuku kufa ulipata mtaalam wa mifugo kucheki chanzo cha kifo ni nini baada ya kufanyiwa postmortem?
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Inachukua Muda gani ili uwe kwenye mtelezoooBiashara mwanzoni inahitaji uvumilivu, ila ukishakua kwenye channel mambo mtelezo...
Usimkatishe tamaa inawezekana hukumfundisha namna ya kujitegemea mke ndo msimamizi na msaidizi mkuu Jaribu kumuelimisha lakini muulize yeye Anapenda kusimamia nini mfungulie asimamiedaima nitaendelea kumwamini mzazi kuliko Mke
Naomba msaada hivi unawezaje kuweka kumbukumbuJifunze sasa kuweka rekodi zako mkuu
Hongera sana mkuu kwa kutoa point ya mbolea. Maana sio siri zile comments zako zaSiku zote mwanzo mgumu... And you can raise and fall several times...
Biashara ni imani...
Biashara mwanzoni inahitaji uvumilivu, ila ukishakua kwenye channel mambo mtelezo...
Cc: mahondaw
Nilifungua duka la reja reja kwa mtaji wa million moja na nusu, nikwamweka wife anisaidie kuuza sababu yuko home free, kumbe mwenzangu hapendi biashara, baada ya miezi mitatu vitu vimeisha dukani nimemkuta na balance ya laki mbili tu, namshukuru mungu nilifunga duka nikawekeza kwenye kufuga mbuzi naishi mjini mbuzi nafungia kijijini msimamizi ni mama yangu,namshukuru mungu nilianza na mbuzi wa nane saivi mimefikisha mbuzi arobaini na tatu. daima nitaendelea kumwamini mzazi kuliko Mke.
Mkuu Mimi nina wiki ya pili tangu nimefungua duka kuna siku sijauza siku mbili hata ile mia mbovukiukweli ile kufungua asubuhi mpaka jioni hakuna anaekuja hata kuulizia picha ya passport size ilikua inanipa shida sana,yani unaona wateja wanavyomiminika karibu na kwako lakin wewe hakuna kitu,hadi unatamani ofisi yako ndio ingekua ya jirani yako
Asante mkuu.Hahaha mkuu hapa umenigusa mimi kabisa,yaani faida unakua nayo kabisa kichwani tayari,lakini ukishafika katika uwanja wa biashara unakuta mambo tofauti,hongera kwa kufungua biashara mkuu.
Wanakuja kuwapa mwongozo!!!Siku zote mwanzo mgumu... And you can raise and fall several times...
Biashara ni imani...
Biashara mwanzoni inahitaji uvumilivu, ila ukishakua kwenye channel mambo mtelezo...
Cc: mahondaw
Mkuu Mimi nina wiki ya pili tangu nimefungua duka kuna siku sijauza siku mbili hata ile mia mbovu
lakini napata mawazo ya watu eti location niliyoipata si rafiki duh mawazo juu ya mawazo
nimeanza na mtaji kiasi ila najitahidi Kila nikipata hela naongeza mzigo dukani labda siku moja nitasimama
Wanakuja kuwapa mwongozo!!!Siku zote mwanzo mgumu... And you can raise and fall several times...
Biashara ni imani...
Biashara mwanzoni inahitaji uvumilivu, ila ukishakua kwenye channel mambo mtelezo...
Cc: mahondaw
Duuh changamoto sana mzeeMkuu Mimi nina wiki ya pili tangu nimefungua duka kuna siku sijauza siku mbili hata ile mia mbovu
lakini napata mawazo ya watu eti location niliyoipata si rafiki duh mawazo juu ya mawazo
nimeanza na mtaji kiasi ila najitahidi Kila nikipata hela naongeza mzigo dukani labda siku moja nitasimama
Sawa ngoja tusimamishe biashara zetu tuwaongezee ajiraKama umeajiriwa ishike Ajira yako.