Tamu na chungu ulizopitia wakati unaanza biashara yako

Yes details ndogondogo mara nyingi tunazidharau lakini ndozenye maana kwenye biashara mkuu,haikuwa rahisi maana nilikata mpk mtaji wenyewe lakini nilisimama tena now namshukuru Mungu
Hakika na Mungu akusaidie,mana ukiweza kuvumilia na kutokata tamaa kama ww bhasi lazima utasimama siku moja
 
I'm interested na hyo case ya kuku kufa hapo, ulishawahi kuwapa chanjo hao kuku na je, ulipata elimu ya ratiba ya chanjo? Na vp baada ya kuku kufa ulipata mtaalam wa mifugo kucheki chanzo cha kifo ni nini baada ya kufanyiwa postmortem?
Changamoto ni nyingi hata sijui nianzie ipi ila kubwa kuliko zote nilipoingia kwenye ufugaji ugonjwa ukaingia bandani kila siku naokota kuku 15-30 wamekufa na kati ya kuku 700 niliuza 150 sitasahau

Kutofanya research ya biashara kabla ya kuanzisha kulinicost sana kwenye biashara ya mgahawa unapika chakula hakuna wateja kila siku unalaza aisee

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Aisee pole sana mkuu!
Nilifungua duka la reja reja kwa mtaji wa million moja na nusu, nikwamweka wife anisaidie kuuza sababu yuko home free, kumbe mwenzangu hapendi biashara, baada ya miezi mitatu vitu vimeisha dukani nimemkuta na balance ya laki mbili tu, namshukuru mungu nilifunga duka nikawekeza kwenye kufuga mbuzi naishi mjini mbuzi nafungia kijijini msimamizi ni mama yangu,namshukuru mungu nilianza na mbuzi wa nane saivi mimefikisha mbuzi arobaini na tatu. daima nitaendelea kumwamini mzazi kuliko Mke.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
I'm interested na hyo case ya kuku kufa hapo, ulishawahi kuwapa chanjo hao kuku na je, ulipata elimu ya ratiba ya chanjo? Na vp baada ya kuku kufa ulipata mtaalam wa mifugo kucheki chanzo cha kifo ni nini baada ya kufanyiwa postmortem?

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app

Nilipata yes pale ubungo baada ya kuona kila siku naokota kuku wamekufa tena wakiwa wakubwa teyari kwa kuuzwa nikampeleka pale walipompima wakasema ni typhod na dawa nazowapa ni sawa sema wamekunywa dawa kwa mda mrefu hivyo wako weak niwape vitamin ya kutosha na glucose but still haikupunguza vifo kabisa,i gave up
 
H
Siku zote mwanzo mgumu... And you can raise and fall several times...

Biashara ni imani...

Biashara mwanzoni inahitaji uvumilivu, ila ukishakua kwenye channel mambo mtelezo...

Cc: mahondaw
Hongera sana mkuu kwa kutoa point ya mbolea. Maana sio siri zile comments zako za
"Ngoja waje, kukupa muongozo.........
Cc: mahondaw "
zinakeraga basi tu, ni vile tu kila mtu ana uhuru wa kupost anachotaka
 
Dah huyo kweli sio wife ni jambazi wa level ya PhD
Nilifungua duka la reja reja kwa mtaji wa million moja na nusu, nikwamweka wife anisaidie kuuza sababu yuko home free, kumbe mwenzangu hapendi biashara, baada ya miezi mitatu vitu vimeisha dukani nimemkuta na balance ya laki mbili tu, namshukuru mungu nilifunga duka nikawekeza kwenye kufuga mbuzi naishi mjini mbuzi nafungia kijijini msimamizi ni mama yangu,namshukuru mungu nilianza na mbuzi wa nane saivi mimefikisha mbuzi arobaini na tatu. daima nitaendelea kumwamini mzazi kuliko Mke.
 
kiukweli ile kufungua asubuhi mpaka jioni hakuna anaekuja hata kuulizia picha ya passport size ilikua inanipa shida sana,yani unaona wateja wanavyomiminika karibu na kwako lakin wewe hakuna kitu,hadi unatamani ofisi yako ndio ingekua ya jirani yako
Mkuu Mimi nina wiki ya pili tangu nimefungua duka kuna siku sijauza siku mbili hata ile mia mbovu

lakini napata mawazo ya watu eti location niliyoipata si rafiki duh mawazo juu ya mawazo

nimeanza na mtaji kiasi ila najitahidi Kila nikipata hela naongeza mzigo dukani labda siku moja nitasimama
 
Ni kweli!!
Kabla hujaanza business soma kwanza soko, angalia customers wanahitaji nini then jifunze sanaa ya kuuza.
Ukifanikiwa hivi utakuja kunisimulia siku zijazo.

Ukiwa na business mwanzon unatakiwa ufahamu kuwa business ina kupanda na kushuka but ukiwajua au ukizijua tabia ya wateja wako hutopata shida aisee
Mkuu Mimi nina wiki ya pili tangu nimefungua duka kuna siku sijauza siku mbili hata ile mia mbovu

lakini napata mawazo ya watu eti location niliyoipata si rafiki duh mawazo juu ya mawazo

nimeanza na mtaji kiasi ila najitahidi Kila nikipata hela naongeza mzigo dukani labda siku moja nitasimama
 
Mkuu Mimi nina wiki ya pili tangu nimefungua duka kuna siku sijauza siku mbili hata ile mia mbovu

lakini napata mawazo ya watu eti location niliyoipata si rafiki duh mawazo juu ya mawazo

nimeanza na mtaji kiasi ila najitahidi Kila nikipata hela naongeza mzigo dukani labda siku moja nitasimama
Duuh changamoto sana mzee
 
Back
Top Bottom