Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We dada utakuwa wa kipekee sana, kama kweli ni mdada!FAHAMU: Expire date iliyo kwenye chupa ya maji ni tarehe ya mwisho wa matumizi ya chupa sio maji. Ndio, unatakiwa kuzingatia sababu chupa inapofikia ukomo wa matumizi inaweza kutoa kemikali kwenye maji, Kemikali ambayo inaweza kukuathiri afya yako.View attachment 1463731
Huyu sio yule ndio wanaomsemaga hana nyuma wala mbele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mm niko makini sana week 3 zilizopita naingia kwa muha mmoja hivi nanunua Panadol za Kenya naangalia expire date naona bidhaa imepitwa na wakati nikaacha kunywa kabisa nikaenda duka lingine kununua.FAHAMU: Expire date iliyo kwenye chupa ya maji ni tarehe ya mwisho wa matumizi ya chupa sio maji. Ndio, unatakiwa kuzingatia sababu chupa inapofikia ukomo wa matumizi inaweza kutoa kemikali kwenye maji, Kemikali ambayo inaweza kukuathiri afya yako.View attachment 1463731