Tamu za Numbie

Tamu za Numbie

97543380_621314345393818_416465733834126414_n.jpg
 
FAHAMU: Expire date iliyo kwenye chupa ya maji ni tarehe ya mwisho wa matumizi ya chupa sio maji. Ndio, unatakiwa kuzingatia sababu chupa inapofikia ukomo wa matumizi inaweza kutoa kemikali kwenye maji, Kemikali ambayo inaweza kukuathiri afya yako.‬
101029304_852973538532009_1697547530718933583_n.jpg
 
FAHAMU: Expire date iliyo kwenye chupa ya maji ni tarehe ya mwisho wa matumizi ya chupa sio maji. Ndio, unatakiwa kuzingatia sababu chupa inapofikia ukomo wa matumizi inaweza kutoa kemikali kwenye maji, Kemikali ambayo inaweza kukuathiri afya yako.‬View attachment 1463731
We dada utakuwa wa kipekee sana, kama kweli ni mdada!
 
FAHAMU: Expire date iliyo kwenye chupa ya maji ni tarehe ya mwisho wa matumizi ya chupa sio maji. Ndio, unatakiwa kuzingatia sababu chupa inapofikia ukomo wa matumizi inaweza kutoa kemikali kwenye maji, Kemikali ambayo inaweza kukuathiri afya yako.‬View attachment 1463731
mm niko makini sana week 3 zilizopita naingia kwa muha mmoja hivi nanunua Panadol za Kenya naangalia expire date naona bidhaa imepitwa na wakati nikaacha kunywa kabisa nikaenda duka lingine kununua.
 
Back
Top Bottom