Tamu za Numbie

FAHAMU: Expire date iliyo kwenye chupa ya maji ni tarehe ya mwisho wa matumizi ya chupa sio maji. Ndio, unatakiwa kuzingatia sababu chupa inapofikia ukomo wa matumizi inaweza kutoa kemikali kwenye maji, Kemikali ambayo inaweza kukuathiri afya yako.‬
 
We dada utakuwa wa kipekee sana, kama kweli ni mdada!
 
mm niko makini sana week 3 zilizopita naingia kwa muha mmoja hivi nanunua Panadol za Kenya naangalia expire date naona bidhaa imepitwa na wakati nikaacha kunywa kabisa nikaenda duka lingine kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…