Tamu za Numbie

Tamu za Numbie

1574522553920.jpg

Temana nae
 
Hata harage lake
kwani Numbisa ni mfanya biashara ya kuuza maharage?
kama ni harage hilo ulilolikusudia wewe basi umeamua kumtovukia adabu mtoto wa mwenzio bila ya sababu ya msingi....
haipendezi kwa mwanadamu aliye muungwana aongozwe zaidi na khulka ya matusi na dharau kwa wenzake, hakuna ufisadi mbaya duniani kama ule wa kukosa utu na heshima mbele ya wenzako.

kama munataniana basi sawa endeleza matani dhidi yake na yeye arudishe matani, kinyume chake itakuwa umefanya makosa makubwa yatakayokupasa umuombe radhi
 
Daah watu wa aina hio huwezi kuwaelewesha kistaarabu hivi wakakuelewa,huyu shost kaibuka tu na kufufua ugomvi wa miezi iliyopita,cha kushangaza ana kuweka na wewe ambae hata huna maana mbaya na comment yako(anadhani kila mtu ni adui yangu humu JF)

Hawa attention seeker mie huwa nawajibu wanavyotaka,sijali kuhusu ban wala nini. Wanapata dozi yao tamu tu

Kwanini kila mtu ni adui yako? Kwani wewe una matatizo gani?

Vitu vingine ni wewe unavitaka tu mwenyewe
 
Daah watu wa aina hio huwezi kuwaelewesha kistaarabu hivi wakakuelewa,huyu shost kaibuka tu na kufufua ugomvi wa miezi iliyopita,cha kushangaza ana kuweka na wewe ambae hata huna maana mbaya na comment yako(anadhani kila mtu ni adui yangu humu JF)

Hawa attention seeker mie huwa nawajibu wanavyotaka,sijali kuhusu ban wala nini. Wanapata dozi yao tamu tu
[emoji1787][emoji1787]

Numbie endelea kutuletea mapicha..mengine achana nayo..
 
Back
Top Bottom