Tamu za Numbie

Tamu za Numbie

F095B1F3-E72A-4271-8BAF-A2A150524D43.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeamini ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu mpendwa ndio nipo Ngala nimekuja na usafiri wetu wa ki Africa usiku[emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasalimie sana huko, itakuwa macho yangu makengeza
 
Ankoo sio wewe niliye kuona, nimechanganya madesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unavyo rudi nipitie K9
Yaaani huwa unapita kwenye comments kimyakimya hata ulaiki 😬😬🙆🏾🙆🏾
 
Yaaani huwa unapita kwenye comments kimyakimya hata ulaiki [emoji51][emoji51][emoji1495][emoji1495]
Mambo ya kulaiki kwenye mazingira kama yale huwa yanamnyima uhuru wa kujiachia mlaikiwa.
Hata Esta akiwa kwenye ligi zake huwa silaiki kabisa.
Mpendwa ulipo nipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Happy easter ankoo
Pilau halijabaki nije?hata ukoko nakula[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho watoto shule,pasaka imeahirishwa hadi pale ndugu zetu watakapo maliza mfungo. Undugu wetu sio wa kukutana barabarani ujue... Naja huko idd El fitr
 
😂😂😂😂😂😂Anko bana
Mambo ya kulaiki kwenye mazingira kama yale huwa yanamnyima uhuru wa kujiachia mlaikiwa.
Hata Esta akiwa kwenye ligi zake huwa silaiki kabisa.
Mpendwa ulipo nipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom