Tamu za Numbie

Tamu za Numbie

Jamila Hamisi mkazi wa Elerai jijini Arusha, amepokea kipigo kutoka kwa mume wake baada ya kutokea mzozo kati yao Disemba 27, 2022. Jamila ameliomba Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha limkanye mume wake ili aweze kuendelea kuishi naye kwakua bado anampenda!
p_6856117012621157415551_0_be82bd41f8e2bf9e06422aa4cf5ecc91.jpg
 
Back
Top Bottom