Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
TANAPA mnashindwa kuwa service conscious, mnashindwa kuwa time conscious na mnashindwa kufanya maamuzi sahihi linapotokea tatizo, wageni wamekaa siku nzima getini eti kisa mifumo wa malipo haufanyi kazi?
Mgeni kalipa flight, kalipa visa, kalipa accomodations, kalipa gari, kalipa park fees na zote hizi ni kodi zinaenda Serikalini.
Je, linapotokea suala la mfumo wa malipo getini kukwama, mnashindwa nini kukusanya permit zote, kuwapa wageni notice ya kuweza kuendelea na safari yao, then Tanapa ije kuchek in or out permit zote baada ya mtandao kurudi kwenye hali yake?
Je, pamoja na jitihada zote za Rais kufanya Royal Tour Kuna watu wamepanga kumkwamisha SSH?
Je, Tanapa Kuna watu wanajua wao ni service oriented entity inayotakiwa ku - enhance clients experience?
Je, mifumo kukwama ni kosa la mgeni hadi umuweke 10 hours asubiri wakati ameshalipa cash? TANAPA Kkuna tatizo la umwinyi, uzembe na hii inapelekea hofu ya upigaji kupitia mifumo.
Mama please litazame hili.