KERO TANAPA mna shida gani? Wageni kukaa siku nzima getini kisa mfumo wa malipo haufanyi kazi si sawa

KERO TANAPA mna shida gani? Wageni kukaa siku nzima getini kisa mfumo wa malipo haufanyi kazi si sawa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wafanye pia kaguzi za permit tunapotoka magetini, kuna wafanyakazi wao washaanza kutengeneza mfereji wao wa kula hela za Extra day
Ungejua ata angalau wanatumia izo ganji kuishi kwasababu siku hizi hawalipwi yani ni wana njaa atari kwaio rushwa lazima 🤣
 
Back
Top Bottom