KERO TANAPA mna shida gani? Wageni kukaa siku nzima getini kisa mfumo wa malipo haufanyi kazi si sawa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
221
Reaction score
542
TANAPA mnashindwa kuwa service conscious, mnashindwa kuwa time conscious na mnashindwa kufanya maamuzi sahihi linapotokea tatizo, wageni wamekaa siku nzima getini eti kisa mifumo wa malipo haufanyi kazi?

Mgeni kalipa flight, kalipa visa, kalipa accomodations, kalipa gari, kalipa park fees na zote hizi ni kodi zinaenda Serikalini.

Je, linapotokea suala la mfumo wa malipo getini kukwama, mnashindwa nini kukusanya permit zote, kuwapa wageni notice ya kuweza kuendelea na safari yao, then Tanapa ije kuchek in or out permit zote baada ya mtandao kurudi kwenye hali yake?

Je, pamoja na jitihada zote za Rais kufanya Royal Tour Kuna watu wamepanga kumkwamisha SSH?

Je, Tanapa Kuna watu wanajua wao ni service oriented entity inayotakiwa ku - enhance clients experience?

Je, mifumo kukwama ni kosa la mgeni hadi umuweke 10 hours asubiri wakati ameshalipa cash? TANAPA Kkuna tatizo la umwinyi, uzembe na hii inapelekea hofu ya upigaji kupitia mifumo.

Mama please litazame hili.

Your browser is not able to display this video.
 
Inahusiana vip na TANAPA Mzee
 
Huujui uislam wewe. Nenda kwa Mwamposa huko ukampe pesa milioni 1 upewe mafuta robo kijiko ukajitubu ugonjwa wa nguvu za kiume. uislam huuwezi
 
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri..!!
 
Mkuu kwanini usifungue uzi unao jitegemea ili huweze kutufundisha kuhusi Imamu Hussein, kuliko kudandia nyuzi za watu.
 
Hii inauhusiano wowote na uzo uliopo?
 
Isije ikawa ni mbinu ya kuwapunguza watalii wanaoingia Tanzania.

Kama tetesi kuwa kipindi fulani bwawa la Mtera lilikuwa likihujumiwa ili kusababisha mgao wa umeme, hilo nalo halishindikani kufanyika.
Hamna kitu kama hiko, kama kuwapunguza wangeanzia kwenye mipaka ya nchi. And why wawapunguze?
 
Virus
 
Watu wanaweza kuharibi mfumo, ili wafanya ya papo Kwa papo
 
Na bado, Mama ana mpango kuja kuifanya hiyo mbuga mgodi wa dhahabu hao watalii ndio kabisaa hawatakanyaga hata hapo getini...hiyo mfumo hausomi ni cha mtoto!

Mama anampango kabambe wa 'kutema bigG kwa karanga za kuonjeshwa'!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…