mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,155 Reaction score 2,704 Apr 18, 2026 #1 Habari iliyopo mezani Tanapa mikoa ya kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji
wolverineGG JF-Expert Member Joined Feb 13, 2025 Posts 1,968 Reaction score 3,680 Apr 18, 2026 #2 mirindimo said: Habari iliyopo mezani Tanapa mikoa ya kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji Click to expand... mkoa gani specifically?
mirindimo said: Habari iliyopo mezani Tanapa mikoa ya kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji Click to expand... mkoa gani specifically?
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,335 Reaction score 2,899 Apr 18, 2026 #3 mirindimo said: Habari iliyopo mezani Tanapa mikoa ya kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji Click to expand... Habari haijapewa uzito unaostahili ukilinganosha na kichwa cha habari, toa hata mifano michache inayoonyesha, au inayounga mkonoe hoja yako.
mirindimo said: Habari iliyopo mezani Tanapa mikoa ya kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji Click to expand... Habari haijapewa uzito unaostahili ukilinganosha na kichwa cha habari, toa hata mifano michache inayoonyesha, au inayounga mkonoe hoja yako.