'TANAPA': Yule Mnyama aliyefanya maangamizi makubwa Mwadui, sasa anaelekea Stand ya Shinyanga

mbumbumbu kakimbia
 
Karibu kwa wahuni wakamia game. . Utakula kamoko tu.. afu wahuni fitina zinaanza. . Kama namuona golie wa stand vile anadunda dunda mpiraa. ..haha..
Kama nawaona Ball boys wanavochelewesha mipiraaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahhhaahaa..Mkuu Hii nimependa..
 
Huyo mtani wetu kwa mihemuko hatumuwezi tayari anakwambia simba kama real Madrid tatizo pale akianza kupigwa huwa anapata udhuru wa ajabu mpaka watu wanadhani kafikwa na umauti hatuna wasiwasi nao hii marathon watakata pumzi tu.
 
Kichuya anafunga mabao classic sana Kesho Stend anapigwa 4-0
 
Wewe ni Wazi Kuwa ni Katika ¼ .....
Manake Sidhani Kama Mtu Mwenye Akili Timamu Anaweza Fikiria Kuwa Chaneta FC atachukua Ubingwa Mbele Ya Mnyama huyu hatari...
 
Kesho Ni Siku Ngumu Sana Kwa Yeboyebo....
Nadhani Wakisikia Tu Mond Wao Kaliwa 3 Na Mnyama Watajuta Kugeuzwa Salome na Stand...
 
Habari hii Imeletwa na Mwandishi Wetu.
Kumekuwa na hali ya mashaka makubwa na hofu Mjini Shinyanga kutokana na Habari zilizozogaa kuwa yule Simba aliyekuwa huko Mwadui Mgodini na kula Madini yaliyokuwa yamechwa na wachimbaj waliokuwa wamekimbia Migodi sasa ameonekana Shinyanga Mjini.

Mwandishi amejaribu kupita Mjini kote na kushuhudia mji ukiwa umeachwa mkiwa wananchi wote wamekimbia na kuacha mali zao. Mwandishi alilazimika kwenda mpaka stand kuu kuangalia kulikon na huko alikuta kumeachwa ukiwa. Hakukuwa na wapiga debe,abiria wala mabasi.

Mwananchi mmoja ambaye alielezea hali hiyo akiwa mkoani mwanza ameomba ndugu waziri wa mambo ya ndani aingilie suala hili ili kumdhibit Mnyama huyu anayeonekana ana njaa ya miaka mingi sana. Inasemekana amekuwa akila kitu chochote ambacho kitakuwa kina harufu ya kuguswa na binadamu.iwe ni mbao,vyuma,madini ya thaman,kandambili,ice cream, maji,wanajeshi n.k

Wazir husika ametangaza kusaidiana na watu wote wenye nia ya kumuua au kumdhuru simba dume huyu.
Toka shinyanga ni mimi mwandish wenu JITI KAVU
 
Huyo mtani wetu kwa mihemuko hatumuwezi tayari anakwambia simba kama real Madrid tatizo pale akianza kupigwa huwa anapata udhuru wa ajabu mpaka watu wanadhani kafikwa na umauti hatuna wasiwasi nao hii marathon watakata pumzi tu.
Simba S.C ni kama Real Madrid katika jambo hili.. wote wamecheza mechi za ligi kuu msimu bila kupoteza hata mechi moja.
 
Wewe ni Wazi Kuwa ni Katika ¼ .....
Manake Sidhani Kama Mtu Mwenye Akili Timamu Anaweza Fikiria Kuwa Chaneta FC atachukua Ubingwa Mbele Ya Mnyama huyu hatari...
Bishia hizo takwimu alizoweka sembo kwanza ndio ulete hizi Ngonjera zake. Ni kweli simba kashinda goli nyingi msimu huu zaidi ya Yanga?
 
Simba S.C ni kama Real Madrid katika jambo hili.. wote wamecheza mechi za ligi kuu msimu bila kupoteza hata mechi moja.
sembo vipi bado unaamini mpaka sasa Paka la Msimbazi kamzidi timu ya Wananchi magoli?
 
Stand inaenda kuwaka moto huku mnyama akijitwalia kitoweo kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…