Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Zungumza haya baada ya mechi ya mwisho wa msimu. Hata hivyo si vibaya mkachukua ubingwa msimu huu. Sisi tumeshauchoka. Msije kusema kuwa tuna Ubia na Vodaendelea kujifariji....
mnyama anaendelea kutafuna yeyote anayepita mbele yake...!!
Haaaaaah haaaaa yametimia,Mungu fanya tenaYanga wakizuiwa mechi moja ntafurahi,eeeh Mungu wa Israel
Sawa hiyo GD kamzidi Mangapi? Simba ana 22 yanga 21 tofauti ya kagoli kamoja ndio mnapiga kelele hivi?
Kweli Rage hakukosea kuwapa lile jina
Mbona unabadili mada. Kuna mtu au katika post zangu umeona kuna sehemu nimezungumzia points. Au hujui hata ulichoquote ni nini? Next tym jaribu kufuatilia mtiririko wa post then ndio uje kupost huu utumbo wako.Usiwe Siku Zote Unabakia Kuwa ΒΌ! Sisi Tunajivunia Kuwa Na Points 35 dhidi ya 27 zenu! Wala Hatuangalii hilo GD 1 tulilowazidi...
Hivi Tusipopiga Kelele Kwa Kuwaburuza Kwa Points 8 clear unataka tufanyeje???
Unaweza kuta nabishana na mtu anayejifanya anaujua mchezo wa mpira wa miguu kumbe ni mtaalam wa netball
Ignore list. Thank you JFNadhani Wataalamu wa Netball Katika Hii ligi Wanafahamika Kwani Ndiyo Mahodari Wa Kufungia Mikono.. Hapo Naona Unajitekenya Ukicheka Mwenyeo...
Unanikumbusha zile story za sungura..."sizitaki mbivu hizi"Zungumza haya baada ya mechi ya mwisho wa msimu. Hata hivyo si vibaya mkachukua ubingwa msimu huu. Sisi tumeshauchoka. Msije kusema kuwa tuna Ubia na Voda
Habari za siku!Nadhani Wataalamu wa Netball Katika Hii ligi Wanafahamika Kwani Ndiyo Mahodari Wa Kufungia Mikono.. Hapo Naona Unajitekenya Ukijicheka Mwenyewe...
hv leo hakuna game vpl?Tangia wafungwe wamegoma kabisa kuanzisha mada mpya
Huyu bwana kajipa dharura ya kupotea akija huandika alikuwa eneo korofi basi waungwana tunamsamehe maisha yanaendelea.sembo nisaidie hapa